Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

Nakala alone TAI DUME
 
Huyu jamaa ni tapeli sio Mwandishi wa Habari nimeshamblock kabisa twitter sitaki kuona upuuzi wake wenye upendeleo.
Glad ulishastuka ila ndugu zetu wanasimba hawataki hata kuelewa

Habari zake micky ni biased
 
Mkataba ni wa pande mbili. Moja club pili mchezaji. Ndio mana termination ya mkataba inaweza kuwa upande wa mchezaji (personal reasons) au upande wa timu.

Miki anareport habari za widadi kumtaka mzinze, sio habari za Yanga kukataa kumuuza mzinze. Hapo usichoelewa ni nini?
 
Ana mkataba na yanga wydad watamnunua mzize bila kuonana na waajiri wake,? Unajitoa ufahamu sana

Ofa imetumwa kwa team sio mzize anakupotosha basi mzize mwenyewe aende huko kama ni personal affairs annaamua tu
 
Utopolo wanatia aibu sana kwenye mitandao ya kijamii. Waliivamia page ya malumo na kuanza kuwasifua kisa walikuwa wanataka skudu. Waliivamia page ya aursburg ya ujeremani na kuwatukana kisa wamefungwa. Waliivamia ya mayele kumtukana kisa anaondoka.
Shobo ni asili ya watanzania, umesahau kila timu inayopangiwa na Simba kwenye klabu bingwa au shirikisho, mashabiki huenda kuvamia kwenye kurasa zao na kuandika ujinga ujinga tu. Kule nako kwa Mbwana Samata hivyo hivyo kule Uingereza kwenye timu yake mpya. Hilo ni asili ya watanzania
 
Ana mkataba na yanga wydad watamnunua mzize bila kuonana na waajiri wake,? Unajitoa ufahamu sana

Ofa imetumwa kwa team sio mzize anakupotosha basi mzize mwenyewe aende huko kama ni personal affairs annaamua tu
Miki anasema hivi: wydad wameongeza ofa kumnunua mzinze.

Hasemi hivi: Yanga wamegomea ofa ya wydad kumnunua mzize.

Usupoelewa hapo Tena wewe ni sijui la kufa, au lishakufa kabisa 😅
 
Miki anasema hivi: wydad wameongeza ofa kumnunua mzinze.

Hasemi hivi: Yanga wamegomea ofa ya wydad kumnunua mzize.

Usupoelewa hapo Tena wewe ni sijui la kufa, au lishakufa kabisa 😅
Mkuu unajitoa akili sana
Wengine wote wamereport wydad wametuma off yanga wanamtaka mzize kasoro yeye tu .

Kiufupi unajitoa akili mtu mzima

Haya mzize aende wydad sasa si wamempa ofa? Aende anasubiri nini kama rahisi mchezaji ananunuliwa kama nyanza sokoni
 
Sasa afanyeje? Uongozi wa utopolo kwa mihemka ilimpiga marufuku kureport au kutaja jina la Yanga kwenye habari zake, kuwaheshimu imekuwa kosa?
 
Sasa afanyeje? Uongozi wa utopolo kwa mihemka ilimpiga marufuku kureport au kutaja jina la Yanga kwenye habari zake, kuwaheshimu imekuwa kosa?
Haya mzize bado ni mchezaji wa yanga na yupo chini yanga micky alisema chochote kinachoihusu yanga hatokigusa kimemrudisha nini? Mzize anavaa jezi ya yanga na ni mchezaji wetu
 
Sasa afanyeje? Uongozi wa utopolo kwa mihemka ilimpiga marufuku kureport au kutaja jina la Yanga kwenye habari zake, kuwaheshimu imekuwa kosa?
Kumbe alipigwa marufuku, sasa kama alipigwa marufuku ndio aache kuposti vitu negative kwa Yanga. Na hata hili la Mzize alipaswa kuachana nalo kwasababu Mzize ni mchezaji wa Yanga hivyo kuongelea mchezaji wa Yanga ni kuiongelea Yanga.
 
Ndio namwambia hapa ndugu yangu TAI DUME lakini naye kanywa maji ya micky
 
Hapana Comrade. Sijawahi kumsikia mahali popote. Huenda huku kijijini nilipo, mambo mengi yananipita. Nitashukuru kama mjukuu wangu ephen_ atanichukua ili niishi naye mjini, na hivyo kuendana na wakati.
Babu njoo ukiwa na bibi sio peke yako☺️
 
Hapana Comrade. Sijawahi kumsikia mahali popote. Huenda huku kijijini nilipo, mambo mengi yananipita. Nitashukuru kama mjukuu wangu ephen_ atanichukua ili niishi naye mjini, na hivyo kuendana na wakati.
Je bado soka unasakata huko kijijini comrade au kiuno kinagoma kutoa ushirikiano? Nataka nije tena na team ya wazee wenzangu kucheza mechi na yenu
 
Nlitegemea ujee na post za kufanya aliye leta Uzi zionekane ni uongo!! Kama ya mzinze ulete Uzi kuonyesha jamaa alimpost na jezi ya yanga, nlitegemea ujee uonyeshe jinsi mleta post alivyo muongo na mlalamishi wa mambo ya ovyo,ulete ushahid kua Huwa anaipost yanga ,hata walipo wakanda Simba alipost ,kama alivyo kua amepost awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…