Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

Tatizo la washabiki wa nyuma mwiko ni washabiki flan oya oya mnatakaga mpewe sifa nyie tu[emoji1787][emoji1787] micky ni mshabiki wa simba kam alivyo kitenge anavyokandia mambo yetu simba sasa utamlazmsh vipi awapambe mbona uto wengi wenu mna empty brain sana yaan mnalazmisha kupendwa muacheni kijan afanye kazi yake apendavyo yeye vifaa vyake bando lake akili yake mnaumia nini???bas wafuatlieni hao mnaowapenda nyie
 
Hawa ndugu zetu mbumbumbu tumewazoea tu mkuu

Yaani hana hata ushahidi lakini analeta blah blah tu badala ya kuleta uthibitisho wake msamehe tu mkuu ndugu yetu huyu pwilo
 
Hatuwezi kukubali atuharibie reputation yetu eti kisa vifaa vyake na bando

Alishaambiwa asitupost kabisa sasa kinamuwasha nini kuongelea mambo ya yanga ikiwa bado anaweka tu tena yale negative pekee?

Mfano mzize ni mchezaji wa yanga anamuhusu nini?
 
Ujinga huwaga haujifichi, yaani mpaka watu wa nje ya Tanzania washajua utopolo ni watu wa Aina gani.
Aliacha kuwafatilia yanga baada ya mtu wa yanga kutaka kumlazimisha aandike anavyotaka yeye.
Yanga washazoea vijarida Kama mwanaspoti ambayo kichwa vinaandika habari za kuwasifia.
Halafu likija swala la yanga ni la kwenu sio la watanzania maana hata Eymael.m alipowaambia ukweli mkajifanya amewatukana watanzania kumbe ni Mambo yenu.
 
Kutoa habari sio shida
Shida useme uongo na uzushi mbona madai niliyoyatoa hapo juu hujasema?

Umeleta uswahili tu katika dunia ya sasa reputation ni kitu cha kutunza sana na mitandao haifuti kitu sasa huwezi kutuharibia halafu tukuchekee especially shabiki wa mpinzani wetu (simba)

Tapeli na mzushi huyo
 
Usiwaandikie ukweli mnoo.Nenda nao adoado kispoti wasijione wananchi wanyonge.😂
 
Furaha sana.Mnalilia ukubwa?Utengenezeni kwanza.Kitonga ni Tanzania tu.Kwa waelewa ni lazima upitie tanuru la moto mkali mnoo!Hakuna short-cuts.
Tutakutana sio mbali sana bado week chache tu tuwaoneshe tena ukubwa wetu kama kawaida yetu kwahiyo tulieni
 
Basi andamaneni mpk ghana kwahyo mnakubali kitenge aharibu reputation ya simba mbona sisi tunampuuza kitenge kam mtu aliejinyea mbona mnamakasiriko sana.
Yanga bado mnakauswahili fln kenye tabia za timu ndogo ndio maan hata mkishinda mnaweka sherehe,mkikosolewa mna rusha tako juu...kaeni kwa kutulia msifikiri mafanikio yenu yatawababaisha kila mtu awapambe wasapotini hao wanaowalealea....micky piga kazi hamjaandikiwa barua kumfuatlia kwenye page zake ni viherehere vyenu tu
 
Tutakutana sio mbali sana bado week chache tu tuwaoneshe tena ukubwa wetu kama kawaida yetu kwahiyo tulieni
Hapo siyo kutafuta ukubwa.Ukubwa ninaomaanisha wa CAF.Huko kwingine ni Simba anapambana na timu nyingi za GSM zenye kanuni zao za football.
 
simba alichukua kombe ana viporo 4+ tena anaenda kucheza na timu imesha shuka daraja

simba ubingwa wake huwa n wa kupangwa
 
Angalau kitenge yeye huwa anayosema ni ukweli prove me wrong na sio yeye mbona wengi tu wanaeleza madudu ya simba?

Shida inakuja mtu anaposema uongo kama micky kitenge ajawahi kusema uongo kuhusu nyie
 
Kwanzia uanze kumfuatilia huyu jamaa ulishawahi kuona anaindika Simba in negative side? Kwanini iwe kwa Yanga pekee? Hapo ndipo anapogeuka kutoka kuwa mwandishi wa habari za michezo na kuwa shabiki wa Simba. Usajili wa Azizi Ki jamaa alimgeuza Hersi kuwa ni tapeli na muongo alisimama kuaminisha umma kuwa Azizi Ki hatoichezea Yanga na aliyeongea na Hersi sio wakala wa Azizi Ki. Jamaa anageuka ni mpiganaji dhidi ya Yanga kwa maslahi ya ushabiki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…