mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Thubutu,faster ange reportBe honest,twambie,
Ukiteuliwa nawe utaukaa?
[emoji1]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu,faster ange reportBe honest,twambie,
Ukiteuliwa nawe utaukaa?
Sasa ni rasmi CWT inakufa na serikali imetambua chama hicho kina nguvu ya kukubali au kukataaSalaam Wakuu,
Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.
Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi wake na achaguliwe mtu Mwingine.
Wateule wengine ambao wamekataa uteuzi ni:
Leah Ulaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita na na Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma
Wote waliokataa Uteuzi wa Rais Samia ni Viongozi wa juu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT).
Leah Ulaya ni rais wa CWT, Dinah Mathamani ni Makamu wa Rais wa CWT huku Japheth Maganga akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
======
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ameshiriki kuongoza mkutano wa viongozi wa chama hicho jijini Tanga huku akisema kwa sasa hawezi kueleza kwanini hajaripoti katika wilaya aliyopangiwa ya Kyerwa, mkoani Kagera.
Vilevile, Maganga alihojiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Polisi Mkoa wa Tanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Tanga zaidi ya dakika 50 lakini si yeye wala wanausalama hao walioweka wazi sababu za mahojiano hayo.
Maganga na Rais wa CWT, Leah Ulaya waliteuliwa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakuu wa wilaya lakini wakati wenzao wakiapishwa kwenye maeneo yao leo Jumatatu, Januari 30, 2023 wao wapo Tanga wakiongoza mkutano wa viongozi wakuu wa CWT.
Ulaya aliteuliwa kuwa DC wa Mbogwe, Mkoa wa Geita ambapo wenzake wanaapishwa leo Jumatatu na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shigela.
Mara baada ya kumaliza kuhojiwa na polisi kuanzia saa 4:36 hadi saa 5:24 asubuhi nje ya ukumbi wa mkutano huo unaofanyikia katika Hoteli ya Regal Naivera, Mtaa wa Bombo jijini Tanga Maganga alirejea ukumbini na baadaye kidogo alitoka nje.
Nje ya ukumbi ambapo Mwananchi Digital limeweka kambi, Magamba amesema, “kwa sasa nimeziba mdomo labda usubiri tutakapomaliza kikao ndipo nitazungumza kuhusu nafasi ya U-DC na CWT."
Wakati Maganga akisema hayo, Rais wa CWT hakutoka ndani ya ukumbi wa mkutano huo huku maofisa wa CWT wakisema hajaruhusiwa kuzungumza na vyombo vya habari.
Kitendo cha viongozi wakuu hao wa CWT kuonekana Tanga wakati wenzao wakiapishwa kimezua mjadala mitandaoni na kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba wameomba wateuliwe wengine kwenye nafasi hizo za U-DC ili kuwawezesha kuendelea na majukumu yao katika chama cha walimu.
Chanzo: DC mteule ahojiwa na polisi dakika 50, Rais CWT…
Habari ndio hiyoEbu ngoja nikae hapa nisubiri habari kamili
Huu ni ushahidi wa wazi kabisa wa CWT kutumika kama tawi la ccmSalaam Wakuu,

Duuh my country, kwahiyo nafasi za utumishi sikuhizi ni ulaji? Aise!Kwa nini wanawateua bila kushauriana nao?
Kwanza huko mtaani watu wanadharau cheo Cha DC kwamba hakina maslahi, unadhani wangeteuliwa kuwa Ma DED wangekataa?
Wanayofanya vetting ni wapuuzi Kwa sababu huwezi mtoa mtu sehemu yenye ulaji umpeleke huko kusiko na ulaji..
Hizo nafasi wawape watu wenye vyeo na ulaji mdogo tena wako wengi tuu.
Asante sana Mkuu PakiJinja, kiukweli mtu kuteuliwa kumsaidia rais kwa kuwa DC ni heshima kubwa, hivyo wengi wanatamani uteuzi ili kupata heshima, ukubwa, na maslahi ya u DC, naomba nisimtaje mshahara wa ma DC humu nikaonekana nawavunjia watu heshima!, lakini kuna akina sisi watu wa type ya kozi mwana mandanda kulala njaa kupenda, ni masikini jeuri!, kwetu u DC sio dili!, hiyo mishahara ya ma DC tunawalipa ma DC 3, RC 2 na Mkurugenzi 1 kwa kodi yetu!.Aisee, humu huwa tunamtania tu Pascal Mayalla kumhusisha na hizi nafasi. Msije mkachulia kuwa watu wakisema wapo serious. The guy is the living legend na heshima yake ni kubwa sana kuwa associated na kumsaidia rais katika ngazi ya such positions. Ni heri aendelee kumsaidia rais kulipa kodi kuliko kwenye nafasi hizo
CWT ni kichaka cha wizi,Rushwa, UFISADI na UBADHIRIFU!
RCO na RPC watakuwa washaelezewa.Jambo lipi hilo mkuu
Pascal Mayalla unakubaliana na hili ?Kwa kweli bila kupepesa maneno, cheo cha ukuu wa wilaya kwa sasa mhh...kama mtu una madili yako ni bora ukatae uteuzi uendelee kupiga misele yako tu, usije ukapata pressure bure
Ndo manake ,Sasa unajua ulaji wa huko CWT? Haiwezi lingana na U DCDuuh my country, kwahiyo nafasi za utumishi sikuhizi ni ulaji? Aise!
Pascal Mayalla its now or neverSalaam Wakuu,
Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.
Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi wake na achaguliwe mtu Mwingine.
Wateule wengine ambao wamekataa uteuzi ni:
Leah Ulaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita na na Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma
Wote waliokataa Uteuzi wa Rais Samia ni Viongozi wa juu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT).
Leah Ulaya ni rais wa CWT, Dinah Mathamani ni Makamu wa Rais wa CWT huku Japheth Maganga akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
======
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ameshiriki kuongoza mkutano wa viongozi wa chama hicho jijini Tanga huku akisema kwa sasa hawezi kueleza kwanini hajaripoti katika wilaya aliyopangiwa ya Kyerwa, mkoani Kagera.
Vilevile, Maganga alihojiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Polisi Mkoa wa Tanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Tanga zaidi ya dakika 50 lakini si yeye wala wanausalama hao walioweka wazi sababu za mahojiano hayo.
Maganga na Rais wa CWT, Leah Ulaya waliteuliwa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakuu wa wilaya lakini wakati wenzao wakiapishwa kwenye maeneo yao leo Jumatatu, Januari 30, 2023 wao wapo Tanga wakiongoza mkutano wa viongozi wakuu wa CWT.
Ulaya aliteuliwa kuwa DC wa Mbogwe, Mkoa wa Geita ambapo wenzake wanaapishwa leo Jumatatu na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shigela.
Mara baada ya kumaliza kuhojiwa na polisi kuanzia saa 4:36 hadi saa 5:24 asubuhi nje ya ukumbi wa mkutano huo unaofanyikia katika Hoteli ya Regal Naivera, Mtaa wa Bombo jijini Tanga Maganga alirejea ukumbini na baadaye kidogo alitoka nje.
Nje ya ukumbi ambapo Mwananchi Digital limeweka kambi, Magamba amesema, “kwa sasa nimeziba mdomo labda usubiri tutakapomaliza kikao ndipo nitazungumza kuhusu nafasi ya U-DC na CWT."
Wakati Maganga akisema hayo, Rais wa CWT hakutoka ndani ya ukumbi wa mkutano huo huku maofisa wa CWT wakisema hajaruhusiwa kuzungumza na vyombo vya habari.
Kitendo cha viongozi wakuu hao wa CWT kuonekana Tanga wakati wenzao wakiapishwa kimezua mjadala mitandaoni na kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba wameomba wateuliwe wengine kwenye nafasi hizo za U-DC ili kuwawezesha kuendelea na majukumu yao katika chama cha walimu.
Chanzo: DC mteule ahojiwa na polisi dakika 50, Rais CWT…
Siyo katiba mpya tuu ni kukataa ndoa piakuyaondoa haya ni mpaka katiba mpya
Kijana zungumza machache.Wanayofanya vetting ni wapuuzi Kwa sababu huwezi mtoa mtu sehemu yenye ulaji umpeleke huko kusiko na ulaji..
You nailed itHii ni nzuri sana.
Mtu unateuliwa kwa mbwembwe unaacha shughuki zako baada ya mwaka unatupwa nje ya uteuzi kwa aibu.
Unadhani kwanini Ccm yako bado inakikumbatia hiki cheo?Naunga mkono hoja, hizi post za DC ni muendelezo tuu wa colonial legacy, but in reality the post is redundancy, just wastage of time, money and resouses za Watanzania masikini wa kutupa wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea.
P