Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

Sasa ni rasmi CWT inakufa na serikali imetambua chama hicho kina nguvu ya kukubali au kukataa
 
Huu ni ushahidi wa wazi kabisa wa CWT kutumika kama tawi la ccm

Bila ya Katiba mpya, hii nchi miaka nenda, itaendelea kumilikiwa na hiki kikundi cha watu wachache wanaojiita ccm
 
Duuh my country, kwahiyo nafasi za utumishi sikuhizi ni ulaji? Aise!
 
Asante sana Mkuu PakiJinja, kiukweli mtu kuteuliwa kumsaidia rais kwa kuwa DC ni heshima kubwa, hivyo wengi wanatamani uteuzi ili kupata heshima, ukubwa, na maslahi ya u DC, naomba nisimtaje mshahara wa ma DC humu nikaonekana nawavunjia watu heshima!, lakini kuna akina sisi watu wa type ya kozi mwana mandanda kulala njaa kupenda, ni masikini jeuri!, kwetu u DC sio dili!, hiyo mishahara ya ma DC tunawalipa ma DC 3, RC 2 na Mkurugenzi 1 kwa kodi yetu!.
P
 
CWT ni kichaka cha wizi,Rushwa, UFISADI na UBADHIRIFU!

Matatizo ya waalimu kazini yanayotetewa na CWT lakini serikali haioni umuhimu kwa vile watoto wa vigogo hawasomi shule za kata au vijijini mfano wingi kupitiliza wa wanafunzi ktk darasa moja mfano darasa lina wanafunzi 370 huku lina mwalimu mmoja. Hilo unalizungumziaje ?
 
Pascal Mayalla its now or never
 
Naunga mkono hoja, hizi post za DC ni muendelezo tuu wa colonial legacy, but in reality the post is redundancy, just wastage of time, money and resouses za Watanzania masikini wa kutupa wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea.
P
Unadhani kwanini Ccm yako bado inakikumbatia hiki cheo?
 
Hakika viongozi wanawake hawataki kuburuzwa, hongera kwa viongozi wa CWT

13April 2021


Bi Leah Ulaya rais wa Chama Cha Waalimu Tanzania atoa angalizo kwa sheria inayowahusu waalimu iliyopitishwa na Bunge.

Rais wa CWT anaonesha mapungufu ya sheria iliyopitishwa na bunge kwa sababu za msingi zifuatazo ...


Chama cha waalimu Tanzania CWT kimesisitiza kuwa hakikubaliani na uanzishwaji wa Bodi ya waalimu kwani utendaji kazi wake licha ya kufanana majukumu na Tume ya Utumishi wa Walimu pia inamkandamiza mwalimu kwa kumbebesha garama za uendeshaji. Rais wa chama cha waalim Tanzania Mwalim Leah Ulaya amesema wakati wa uundwaji wa Sheria inaunda bodi hiyo mapendekezo yaliyotolewa na waalimu hayakuzingatiwa hivyo bodi hiyo inamkandamiza mwaalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…