Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Vyama vya wafanyakazi hufanya kazi zake katika mahusiano uwili "bipartite" kati yake na mwajiri. Mwavuli wake ukiwa ni sauti jumuifu za wafanyakazi " collective voices of worker" zinazowasilishwa Kwa njia ya majadiliano ya pamoja "collective bargaining".
Tunapoona mahusiano yanaingiza utatu "tripartite" maana yake kuna sauti za umma zinapaswa kusikika na Serikali ndiyo chombo kinachoingiza maslahi mapana ya umma " public interest" kwenye meza ya majadiliano maslahi ambayo Vyama vya wafanyakazi huwa haviyapi kipaumbele mara nyingi.
Kuna sauti hazisikiki vizuri juu kutokana na waliovaa kofia ya uwakilishi kushindwa kuwasilisha kinachopaswa kuwajibishwa na badala yake ni mtifuano chamani. Katika kurekebisha hali chombo cha tatu katika mahusiano ya kiajira "labour relations" hutumia njia kadhaa kuhakikisha maslahi mapana ya umma yanasikika.
Katika kurekebisha hali Ili maslahi mapana ya umma kupata nafasi yake wapo watakaoumia kutokana na mazingira ya maslahi binafsi yamekuwa finye.