#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

We una matatizo wewe
 
Umeongea ukweli mtupu...binafsi naona kozi nyingine zinahitaji alama ndogo na za kawaida tu issue ni connection, wengi walisomea ualimu ili kujikwamua ki maisha kwani ndiyo kozi pekee ilikuwa inampa ulaji wa haraka mtu yeyote tofauti na siku za hivi karibuni ambapo ajira za ualimu zimeanza kuwa adimu pia
 
Ml 20 darasa 1 mbona nyingi sana

Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu

Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabaki
Aisee mara ya mwisho umejenga lini?
 
Ticha kama ticha nakuonya tena, hizi hela ni za Moto!
Ukijitoa ufahamu utamfata sabaya
 
Darasa moja linachukua tofali 900~1000,mawe inategemeana na eneo lakini sio chini ya trip 10, nondo ni 42 maana Kuna za beam na renta, bati darasa moja ni 56,cement sio chini ya mifuko 130 kwa darasa moja, mchanga trip 8~10.
 
Asante mkuu umemaliza
 
Tulia headmaster, mmezoea kusema choo cha shule kimejengwa kwa m20 kumbe zinajenga darasa na ofisi na makolombwezo kibao
Hujawahi hata kujenga choo wewe. Unafikiri choo Cha shule Ni tundu moja km hicho Cha kwako Cha familia.

Halafu unadhani hao wanaotoa hizo hela wanazitoa kwamba hawajui uhalisia wa kujenga darasa moja au choo Cha matundu 16 inagharimu sh ngapi kulingana na eneo husika.

Unaongea as if mwalimu mkuu ndiye anasema naomba kiasi fulani KWA ajili ya choo au darasa , km vile hamna MHANDISI WA WILAYA ambaye ndiye anatengeneza makadirio hayo.

Mnapenda sana kuleta humu jukwaani akili za vijiweni za majungu na umbea wa mtaani. Wengine hata room moja hamjawahi kujenga. Pumbavu.
 
Hizo kazi wafanye kwa Fosi Akaunti na fundi Maiko.
Hakuna mkandarasi atafanyakazi na wanasiasa.
 
Kwa thamani ya miloni 20 inatosha ba marupurupu wanabakiza


Kwa hiyo mh mwalimu kuwa mpole tu
KWA standard ya darasa la viwango bora Ni hela ndogo sana.

Ninaongea KWA uzoefu. Siyo maneno ya mtaani.

Mwananchi wa kawaida walio wengi wanaona darasa ni tofali zilizopangwa tu ukaweka paa na mlango wanafunzi wanaingia.
 
Darasa haliwezi kuzidi milioni 12
Duuh nikupa mkuu utajenga! Yaani unaongea kabisa ukiwa na akili zako timamu.
Uchimbe msingi, umwage jamvi na nondo zake, cement, mchanga kokoto, hela ya fundi, tofali , plasta, upauwe bati na mbao zake madirisha manne au matano. Duuuuh!

Akili za maskini hizi
 
Anazingua huyu!
 
KWA standard ya darasa la viwango bora Ni hela ndogo sana.

Ninaongea KWA uzoefu. Siyo maneno ya mtaani.

Mwananchi wa kawaida walio wengi wanaona darasa ni tofali zilizopangwa tu ukaweka paa na mlango wanafunzi wanaingia.
Usilete maneno mengi naomba tafadhali huo mchanganuo wa gharama kwa darasa
 
Watu ni wezi saana dunia hii


 
Kitu usichokijua nyamaza. Pumbavuuu
 
kama ni hivyo Basi mkuu wa shule afanye haya:-
1.kila mfuko saruji utoe tofali arobaini!
2.jamvi la molam na sio kokoto na nondo!!
3.Resho(ratio) ya mchanga na saruji iwe chini!ya kujengea ndoo 35 kwa mfuko!!
4.kenchi ziwe chache halafu bati gauge 32 tena zipakwe rangi nzuri ya Bati!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…