Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Wenzio wamepiga mabilioni huko wewe unaendeleza chuki kwa jiwe huku ukoo wako ukitokomea kwa umasikini!

Lazima utakuwa na laana
 
Hamna waziri hapo
 
Ungejua jinsi sera zake zilivyoyumbisha uwekezaji wangu usingeandika hayo ila nilimkubali maana niliona alikuwa na dhamira safi ya kuiendeleza nchi hasa infrastructure ndiyo maana nilikubali wachache tuteseke na mwisho wengi waneemeke. Nachukia ubinafsi
 
Very smart prime minister.

Ila kuwa Makini mzee maana imani ya Watanzania imeelekezwa zaidi kwako sasa,Japo Kundi la mafisadi,watumishi wazembe na wezi wa mali za umma bado linakuona wewe ni kikwazo kwao
Mzigo umeanza kupigwa kabla kayafa hajaugua korona
 
Nonsense,,What if yeye ndo ka blow hyo whistle
 
Hayo ndiyo matokeo ya kumhamisha katibu mkuu wa fedha, Bw. Dotto, aliyekuwa ameidhibiti vizuri wizara hiyo. Katibu mkuu wa sasa ndiye anatakiwa kutumbuliwa. Hizo pesa hazingeweza kuwa zinachotwa ovyo ovyo bila idhini yake.
Atakuwa ni Baba yako Huyo ndio Mwizi mkubwa
 
Inapofika mahali waziri mkuu anaongea mambo ambayo waziri wa hiyo wizara angeongea maana yake huyo waziri hafai...tatizo mama yuko bize mitandaoni
I'm definitely not a hater but ssh presidency is running short, very short, deep short .Nadhani ataacha historia ya kivyake katika serikali ya Tanzania. "Maneno ya watu ni hadaa mbaya sana kwani wakati mwingine wanaweza kukusema ili uachie ulichoshika wakishike wao." ssh ameachia cha mkononi and they have grabbed it, acha agangame na hayo aliyodhani yatamsaidia.
 

Punguza chuki binafsi.
 
Hivi huo upigaji ulifanyika Mwigulu Nchemba akiwepo? Hivi waliteuliwa lini hawa? Mh Rais watu waliimba kuwa Mwigulu Nchemba hafai. Angalia sana huyo kaka anakupotosha kwenye baadhi ya mambo kwa interest zake. Hao ndiyo vijana wake toka enzi. Tunakupenda mno hatutaki uharibu mama yetu.
 
What if yeye ndo ka blow hyo whistle
Kwa kichwa kile kilivyo bogus haiwezi kuwa yeye ndiyo whistle blower. Angekuwa ni yeye basi tungemuona akitoa maelekezo ya watumishi kuchukuliwa hatua kwa kuwa wako ndani ya Mamlaka yake ya nidhamu
 
Magufuli alisema mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya huu ni mwanzo tu...makubwa yanakuja.............
TRA na makusanyo....
Watumishi wa umma kiama cha mishahara chaja....mtakuwa mnapata mishahara baada ya serikali kutembeza bakuri kwa Mzee Bakhresa au mmeishasahau enzi hizo?
 
tunaumizana jamani
kuna taarifa ukizisoma zinaumiza sana hasa kwa sisi jobless ambao tukiingiza elfu tano kwa siku tunashangilia
 
Pole
 
Eehh JPM, furukuta tu kaburini, watu wanaiba hela kijinga, kindorobo bila aibu, woga wala uchungu, Tanzania inakwisha hivi hivi...
 
Mbona ukuchukua hilo voucher na faili lake utaona mwanzo mwisho jinsi endorsement zilivoenda.Mpk mnufaika wa mwisho kuanzia kwenye dokezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…