gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Nyerere aliandaliwa na wakoloni Ili aachiwe nchi,hana uspesho wowote, karume alikua ikulu dar wakati mapinduzi yanafanyikaNyerere na Kawawa,Karume,Mandela, Kenyatta,Kaunda, Nkrumah nk,wangekuwa na Akili kama zako Uhuru tusingepata!
Yaani uniulize jinsia yangu halafu nijibu,ntakua na akili timamu au ng'ombe!?..uliza maswali yenye mantiki
Watamuachiaje wakati anatishia tumbo lao,si unajua waafrika bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Mambo ya domokrasia wapi na wapi.
Mtu ana vimada 20 atakubali vipi atolewe nje ya mfumo.
Hao vimada atawauhudumia nani.
Usinuilize maswali ya kijinga,kama upeo wako ni wa o level,kaa naoUmesema SSH alienda Nairobo hosptali kumsalimia TAL.
Na Mimi nimekuuliza ilikuwa ni safari official kutoka ofisini Kuwa anaenda kumuona TAL Nairobi.
Hapa najenga hoja jibu yes or no il usitukane.
Hakuna Bado ni jeuri uzuri kule jela hateswi kama wale wengine waliowekwaga ndani na yule mzalendo wenu.Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
nitajuaje? siwezi kuingia ndani ya ubongo wa mtu kujua anacho wazo, labda kama wewe mwenzangu ni sangoma unayetembea na ungo huko anagani na kudaka mawazo ya watu...You sure kaheshimi maoni yangu!?
Hawata mwachia kwa kuombwa bila kushawishiwa au kushurutishwa. Wahuni si watu wazuri!
Huyu Atakuwa single mother Ana hasira Sanahalafu anasahau bila hilo neno fvck, yeye asingekuwepo hapa duniani kuliandika humu... yaana anapingana na uuumbaji wake...hayo ndiyo maajabu ya Musa...
Hawezi kuwa timamu emotionally swali dogo anakimbilia matusi..hawa ndo mtaji wa mbogamboga😁😁😁 unafurahisha sana nyie lazima ndo mkizidiwa hoja mnaua watu .
Level of immaturity
Unuliza simple question unaishia kutukana 😁😁😁
Hakuna Bado ni jeuri uzuri kule jela hateswi kama wale wengine waliowekwaga ndani na yule mzalendo wenu.
Bado Bado Hadi baada ya Oktoba 2025
😁😁😁Usinuilize maswali ya kijinga,kama upeo wako ni wa o level,kaa nao
mimi mwananchi ndio serikali yenyewe gentleman.Watibeli tunamuombea atolewe kabla ya tarehe 7. Hayo maelezo mengine hayana maana.
Usiwe mshambenga kwenye maisha ya watu hasa kama mtu mwingine anaonewa.
Ujumbe huu hauhusu washambenga, unawahusu Serikali, Rais, na vyombo vya Dola.
😁😁 hakikaHawezi kuwa timamu emotionally swali dogo anakimbilia matusi..hawa ndo mtaji wa mbogamboga
''aso adabu'' ni kizanzibari au?Acha anyooshwe yule aso adabu
upeo wangu na wako unaupimaje? wewe ndiye umeanzisha ligi ya matusi, na ni wewe pia unazungumzia habari za upeo wa watu.. acha upoyoyo humu ndani kwa kutangaza ujinga wako wa matusi, heshimu watu ili uheshimike pia bila kujali wengine wanasema nini? Form 2 D walifundishwa, in every action, there is equal and opposite reaction , labda hiyo uliisahau...Usinuilize maswali ya kijinga,kama upeo wako ni wa o level,kaa nao
Baada ya Oktoba novemba ndio atolewe.Hivi sio kwaajili ya Tundu Lisu bali kwajili ya waliomuweka.
Mambo ya Jeuri yake sijui kiburi kwa sasa hayana impact kwa taifa.
Kiswahili,tatizo kiswahili hamkijui,na huko shule kujisomea ziada hakuna basi tabu tu''aso adabu'' ni kizanzibari au?
Hii ndiyo id yako nyingine, maana sikuijibu id hiiupeo wangu na wako unaupimaje? wewe ndoye umeanziosha ligi ya matusi, na ni wewe pia unazungumzia habari za upeo wa watu.. acha upoyoyo humu ndani kwa kutangaza ujinga wako wa matusi, heshimu watu ili uheshimike pia biula kujali wengine wanasema nini? Form D walifundishwa, in every action, there is equal and opposite reaction , labda hiyo uliisahau...
ID yangu ya kwanza ni ipi? Hebu niambie Sangoma wa JF 🙂 Nafikiri mtalimbo wako ni mkubwa wa kutosha... cha msingi acha matusi, hayajengi...Hii ndiyo id yako nyingine, maana sikuijibu id hii
kama ni hivyo basi waachiwe wote walioko mahabusu na jela yaan mtu afanye kosa halafu mtegemee huruma huyo bwana tobo kama ana kosa afungwe kama wafungwa wengineHamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.