Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

Achana nae huyo chura kiziwi...sio wadada wote wako hivyo..ukiona hivyo alikua na option mbili au tatu sasa hizo options zake zimebuma...tena kimbia mnoo
 
Achana nae huyo chura kiziwi...sio wadada wote wako hivyo..ukiona hivyo alikua na option mbili au tatu sasa hizo options zake zimebuma...tena kimbia mnoo
Kwa hio nitoke nduki nisigeukie nyuma maana kaniganda mpaka najiuliza maswali mfululizo anataka nianze kugharamia matibabu ya donda lake la Siri wakati donda hilo sijampa MIMI kweli ni haki hio?
 
Lionel Messi aliokotwa na UNICEF akiwa na umasikini wa kipato na umasikini wa afya alikua amedumaa

Rapper Lil Durk ana Watoto 8 na anataka awe na Watoto 12 Watoto ni Baraka hujui inakujaje Ila elewa hivyo

Aposto Bonifaso Mwaposa Bulidoza ana Mtoto mmoja anaefahamika ukiondoa wengine wasiofahamika
 
nipo mkoa wa pwani hapa kuna mzee ana wake 30 na watoto 100 na wajukuu 200 kati ya hao watoto 100 ni mtoto mmoja tu aliyesoma shule!
UONGO unamaanisha wengine wote wameenda Madrasa na wamefika Chuo wakiwa na Miaka 7?
 
Bush ana Watoto 2, mimi ninao 6 na ninawamudu vizuri na wala sitegemei chochole toka kwao zaidi ya jokes za hapa na pale
 
Nimetoka kapa.
 
Juzi kati kuna uzi uliletwa hapa, mwanamke analalamika amezaa watoto wanne kwa kisu, analalamika tatizo ni nini?

Mimi nikawa nashangaa, anazaa watoto wanne mpaka leo, tatizo ni nini?
Yaani anachanwa halafu anashika ujauzito tena, anachanwa tena..

Duuh hahofii afya yake na huyo kiumbe, atamlea vipi akiwa dhoofu na baadhi ya shughuli hawezi fanya, si ajabu hata kipato sio wezeshi.
 
Yaani anachanwa halafu anashika ujauzito tena, anachanwa tena..

Duuh hahofii afya yake na huyo kiumbe, atamlea vipi akiwa dhoofu na baadhi ya shughuli hawezi fanya, si ajabu hata kipato sio wezeshi.
Halafu yeye kaona kuchanwa ndiyo issue, kuzaa hivyo si issue.

Angeweza kuzaa bila kisu angefyatua hata watoto saba.
 
Sasa Kama usingezaliwa unhewezaje Kuandika hapa yaani ungeonekana kuwa mzigo kabla hujaja Duniani si ingekuwa hujaona jua mzee?
Kila mtoto huja na Sahani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…