Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish and utterly nonsense... kama for 60 yrs huo umasikini haujaondoka, ikiwemo masikini wewe mlamba makalio, ndiyo umasikini utaisha kwa dhulma na kuonea raia? Mikataba yoooteee ya kifisadi iliyoingiwa tokea uhuru mpaka leo hao walioingia hiyo mikataba walikuwa CUF au Chadema au ACT Wazalendo?? Acha undezi weweee...Wewe ndiye mlamba viatu! Unafurahia mateso wanayopitia watanzania kutokana na umasikini! Watu wanahangaika kupambana uchumi ukue umasikini uondoke wewe umeng'ang'ana na siasa zako uchwara! Wewe ni msaliti namba moja! Taifa linapambana na adui umasikini ambaye anatesa mamia ya watanzania badala yake uko bize kuvuta watu mashati kuzuia maendeleo ili waendelee kuteseka!
Walisha kuandaa kisakolojia màana wanajua tz kutetea haki ni risk kubwa Sana,Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Na huko kutokua na hatia kwa Mbowe umeuthibitisha wapi?Huo ugaidi wa mbowe umeuthibitisha wapi?
Madhara ambayo yangetokana na ugaidi wake je mnayatazama ???? Mahakama IPO Acha itaamua .usitetee Jambo ambalo haulijui ..binadamu Sisi Kwa muonekano ni binadamu ila ni balaaKila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Kwa hiyo Lissu asingepigwa risasi umasikini ungeondoka? Nonsense kabisa nyieRubbish and utterly nonsense... kama for 60 yrs huo umasikini haujaondoka, ikiwemo masikini wewe mlamba makalio, ndiyo umasikini utaisha kwa dhulma na kuonea raia? Mikataba yoooteee ya kifisadi iliyoingiwa tokea uhuru mpaka leo hao walioingia hiyo mikataba walikuwa CUF au Chadema au ACT Wazalendo?? Acha undezi weweee...
Unatumia nini kufikiri, mbona kama umekatwa kichwa?Wewe ndiye mlamba viatu! Unafurahia mateso wanayopitia watanzania kutokana na umasikini! Watu wanahangaika kupambana uchumi ukue umasikini uondoke wewe umeng'ang'ana na siasa zako uchwara! Wewe ni msaliti namba moja! Taifa linapambana na adui umasikini ambaye anatesa mamia ya watanzania badala yake uko bize kuvuta watu mashati kuzuia maendeleo ili waendelee kuteseka!
Soma vizuri kichwa cha habari,Vipi familia za wale ambao wangekumbwa na ugaidi wa Mbowe? Au wao sio watu? Hawana familia?
Umeishiwa hojaUnatumia nini kufikiri, mbona kama umekatwa kichwa?
NAUNGA MKONO HOJAHuyo Mbowe siasa si aache tu kwani lazima kuwa mwanasiasa na mtaji tayari anao? Si alime hata maparachichi tu
Du! Una hasira!Madhara ambayo yangetokana na ugaidi wake je mnayatazama ???? Mahakama IPO Acha itaamua .usitetee Jambo ambalo haulijui ..binadamu Sisi Kwa muonekano ni binadamu ila ni balaa
Mhhh!NAUNGA MKONO HOJA
Hapana ni mtazamo tuuDu! Una hasira!
Labda!Soma vizuri kichwa cha habari,
Wamiliki wa miti na vituo vya sheli,
Kwenye kesi hawajata familia zilizokusudiwa,tusubiri ushahidi labda zitajitokeza
Unatema cheche za ukweli wewee!Nadhani ungewashauri wasiwe mafisadi kama magufuli. Refer wizi wa 1.5 trillion na uuzaji wa nyumba za umma, kivuko kibovu nk.
Yuko very wrong!Kwa vile wewe umekuwa "jamvi" kwa kila mpita njia kwa kurithi "ujamvi" kutoka tumbo lililokubeba miezi 9,ndio unafikiri kila mtu ni hivyo!!!???
Nimekuuliza swali tu, kama huna jibu ni sawa pia mana siyo lazima kujibuUmeishiwa hoja
Kama intelejensia imeweza kuzuia ugaidi wa mbowe Basi ingeweza kuzuia hata kifo cha magufuliVipi familia za wale ambao wangekumbwa na ugaidi wa Mbowe? Au wao sio watu? Hawana familia?
Maparachichi hayawezi kuzalisha milioni 400 kila mwezi bila jasho. Mafuta ya bure kwenye VX-V8 la KUB na kupokea michango kede kede bila jasho.Huyo Mbowe siasa si aache tu kwani lazima kuwa mwanasiasa na mtaji tayari anao? Si alime hata maparachichi tu
Maisha ya babakoooMbulukenge ni wewe unayeshabikia na kuleta uchama mbele ya maisha ya watu