Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

Huyo Mbowe siasa si aache tu kwani lazima kuwa mwanasiasa na mtaji tayari anao? Si alime hata maparachichi tu
 
Wewe ndiye mlamba viatu! Unafurahia mateso wanayopitia watanzania kutokana na umasikini! Watu wanahangaika kupambana uchumi ukue umasikini uondoke wewe umeng'ang'ana na siasa zako uchwara! Wewe ni msaliti namba moja! Taifa linapambana na adui umasikini ambaye anatesa mamia ya watanzania badala yake uko bize kuvuta watu mashati kuzuia maendeleo ili waendelee kuteseka!
Rubbish and utterly nonsense... kama for 60 yrs huo umasikini haujaondoka, ikiwemo masikini wewe mlamba makalio, ndiyo umasikini utaisha kwa dhulma na kuonea raia? Mikataba yoooteee ya kifisadi iliyoingiwa tokea uhuru mpaka leo hao walioingia hiyo mikataba walikuwa CUF au Chadema au ACT Wazalendo?? Acha undezi weweee...
 
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Walisha kuandaa kisakolojia màana wanajua tz kutetea haki ni risk kubwa Sana,
Tukiona ya dr Ulimboka, mh Tundu lissu ,wanajua mzee wao amechagua haki na yupo kwenye risk kubwa,but atavuka tu, na ipo siku watesi watapinga magoti nakuomba msamaha sio mbali ,asema Bwana
 
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Madhara ambayo yangetokana na ugaidi wake je mnayatazama ???? Mahakama IPO Acha itaamua .usitetee Jambo ambalo haulijui ..binadamu Sisi Kwa muonekano ni binadamu ila ni balaa
 
Rubbish and utterly nonsense... kama for 60 yrs huo umasikini haujaondoka, ikiwemo masikini wewe mlamba makalio, ndiyo umasikini utaisha kwa dhulma na kuonea raia? Mikataba yoooteee ya kifisadi iliyoingiwa tokea uhuru mpaka leo hao walioingia hiyo mikataba walikuwa CUF au Chadema au ACT Wazalendo?? Acha undezi weweee...
Kwa hiyo Lissu asingepigwa risasi umasikini ungeondoka? Nonsense kabisa nyie
 
Wewe ndiye mlamba viatu! Unafurahia mateso wanayopitia watanzania kutokana na umasikini! Watu wanahangaika kupambana uchumi ukue umasikini uondoke wewe umeng'ang'ana na siasa zako uchwara! Wewe ni msaliti namba moja! Taifa linapambana na adui umasikini ambaye anatesa mamia ya watanzania badala yake uko bize kuvuta watu mashati kuzuia maendeleo ili waendelee kuteseka!
Unatumia nini kufikiri, mbona kama umekatwa kichwa?
 
Vipi familia za wale ambao wangekumbwa na ugaidi wa Mbowe? Au wao sio watu? Hawana familia?
Soma vizuri kichwa cha habari,
Wamiliki wa miti na vituo vya sheli,
Kwenye kesi hawajata familia zilizokusudiwa,tusubiri ushahidi labda zitajitokeza
 
Madhara ambayo yangetokana na ugaidi wake je mnayatazama ???? Mahakama IPO Acha itaamua .usitetee Jambo ambalo haulijui ..binadamu Sisi Kwa muonekano ni binadamu ila ni balaa
Du! Una hasira!
 
Soma vizuri kichwa cha habari,
Wamiliki wa miti na vituo vya sheli,
Kwenye kesi hawajata familia zilizokusudiwa,tusubiri ushahidi labda zitajitokeza
Labda!
 
Huyo Mbowe siasa si aache tu kwani lazima kuwa mwanasiasa na mtaji tayari anao? Si alime hata maparachichi tu
Maparachichi hayawezi kuzalisha milioni 400 kila mwezi bila jasho. Mafuta ya bure kwenye VX-V8 la KUB na kupokea michango kede kede bila jasho.

Siasa inawalipa ndio maana utawapiga utawaua lakini hawaachi.

Sana sana watakwambia kwanini usituite mezani tuake tuzungumze🤣
 
Back
Top Bottom