Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

Ulianza wakati Mange alipost Nyumba na Kaburi la Mama Yake Le Mutuz huko Mbeya. From there ndio wakaanza ugomvi. Mange Pia alipost Passport take ikionesha alizaliwa 1960, jamaa ndio alikasIrika Vita ikaendelea to-date.
Kwan huyu Mzee amezaliwa mwaka gani?
 
Maisha ya Dunia si lolote si chochote usimdhihaki aliye kwenye chumba cha sindano hali nawe upo kwenye foleni. Wiki tatu tu alifurahia kifo cha yule dada wa geita aliyeuliwa kikatili. Sote njia moja
 
Ulianza wakati Mange alipost Nyumba na Kaburi la Mama Yake Le Mutuz huko Mbeya. From there ndio wakaanza ugomvi. Mange Pia alipost Passport take ikionesha alizaliwa 1960, jamaa ndio alikasIrika Vita ikaendelea to-date.
LEMUTUZ RIP
 

Zile zile texts za whattsap alizosema alishinikizwa kuwatafuta baada ya kuwa confronted kidogo!!..

Dogo wa kiume alizingua ila yule wa kike mnamuonea. There is no way unaingia kwenye maisha yangu after decades kwa text ya whattsap ambayo haioneshi regret wala reconcilliation yoyote

Najaribu kuweka mambo sawa unajibu wala halikuwa wazo lako, ulishinikizwa tu

Ulishawahi kuoneshwa na mzazi wako kuwa you are worthless to them bro

Ndio maana hata Yesu msalabani alienda na yule alieomba kwa dhati na sio yule aliyetoa dhihaka

Msamaha sio kusema tuyajenge na kutoa shurti kwa mtu uliyemkosea. Msamaha ni ombi
 
Walimtukana vibaya sana. daah kuna wanawake wanajua kuwajaza sumu watoto wao
Lile la kiume lilisema "go https://jamii.app/JFUserGuide your self" alafu likampa dole la kati then likatereza, yan hakuna race ina kisiran kama black America na ndio yanafuata hayo maisha wakati yenyewe ni Matanzania... Maisha haya kuna mzee mmoja alifariki eti matoto yake yapo canada msiba yaliuudhuria ila kwa zoom meeting 😂😂😂😂, daaah na dingi wa watu alijifia kisa familia imemtelekeza wote wamekimbilia ukaya akapata stoke akafa...
 
Jitahidi kuweka kumbukumbu ya kila muamala unaofanya. Usimpe cash wala kununua vitu; tuma miamala tu. Atakayekulalamikia, mpe uthibitisho wa miamala. Wanawake wengine ni washenzi; anafikiri anakukomoa wewe; kumbe anamuumiza mtoto wake.
Sahihi kabisa ila mi siwezi Jamani pesa zikitumwa nasema
Mfano hapa juzi schools kalipa ada I told her that your dad paid the school fees so please don't let him download
Binamu sinaga hizo na Niko very open Kwa kweli Wala sifichi kitu akili kichwani mwake asuke au anyoe
 
Mmhh... huyo dada mpuuzi
 
Ujinga kwa jicho lako la kipuuzi na la kitoto,ila ukirudi kiroho plus hekima jamaa hakudeserver aliyofanyiwa na mkewe.
Yy alipowanyima malezi hakujua malipo yake .Léeni watoto msipowalea wadogo nao wanahaki ya kutowalea uzeen
 
Sasa utajuje kama Lemutuz hakuomba kwa dhati,kuna watu wana mlaumu kaomba kirahisi rahisi,kwenye macho yao wanaweza kuona ni kiurahisi ila mbele za Mungu inaweza kuwa tofauti,same kwa wale wezi yule mmoja aliomba ila ilikuwa simple,yule mwengine hakusadiki ndio tofauti. Halafu maswala ya kiroho hayahitaji swaga,wala mbwembwe issues nikusadiki tu.

Sasa wanaosema kirahisi rahisi, wao walikuwa wanataka afanye nini ndio waone yupo sawa.
 
Yy alipowanyima malezi hakujua malipo yake .Léeni watoto msipowalea wadogo nao wanahaki ya kutowalea uzeen
Sasa huyo mama yao kuanzia US,Kazi mpaka Uraia katafutiwa na familia ya Malechela, bila Malechela hana chochote.

Leo hii kwa ujinga wake na upuuuuuuuzi wake anamdhalilisha mmewe kwa kuvujisha maswala ya kifamilia public, je kapata nini zaidi ya kujidhalilisha yy na wanawe.

Malechela hakukataa kuwalea ila kuhalisia hali yake ya kifedha haikiwa nzuri na still bado kidogo alicho nacho mke wake anataka hicho kidogo wagawane,bado atoe child support, kwa life yake ingekuwa ngumu na ndio maana kaamua kurudi Bongo tu.

Sijajua jinsia yako ila kwa wanaume jamaa aliyapitia magumu, ila still kwa aliyomfanyia mkewe kumtoa bongo, kumtafuti kazi na uraia US ina reflect jamaa alikuwa anampenda mkewe, sema ndio hivyo jamaa alipitia changamoto,bdo demu akadai talaka mixer kugawana mali na bado anataka child support, kiuhalisia kama mwanaume alikuwa anapitia magumu,angendelea kubaki US inawezekana asingefikisha miaka hii,sema basi maisha yake unaweza ukasema anahela sana ,ila unaweza ukakuta hapa bongo alikuwa anaishi na kula bata kwa mgongo wa wana,marafiki sababu ya connection alizokuwa nazo.
 
Le mutuz hajakaa bongo miaka 30 na ushee karudi bongo 2010, na sidhani aliwakimbia kwa kuwaambia hivyo hii itakua imetungwa kwa manufaa ya upande wa mke. Na hata kama aliwakimbia hivyo lazima kulikua na sababu na lazima baadae aliwaeleza watoto kwanini alifanya hivyo, ila kwa vile huyo mama yao ni shetwaan alishawalisha watoto maneno ya chuki. Huo ugonjwa wa moyo wa Le mutuz utakua umetokana na sonono ya vita ya familia. Vijana koseeni mambo yote, lakini msikosee kuoa mtajuta. Laana sasa itawapata wote maana jamaa ameenda na huzuni. RIP Le mutuz cocobanga Boma Yee boma liwanza nyee nyee.
 
Leo nimejifunza kitu.

1. Mzazi tengeneza heshima kwa wanao tangu ukiwa hai. Leo hii Lemutuz kafa hakuna anaetaka kujua kama aliwahi kuwajali wanae au la ila kila mtu analaumu watoto.
2. Ina maana wazazi hawakosei na huruhusiwi kuumia kama mtoto umeumizwa just because ni mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…