Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

le mutuz hakukosea, alikuwa na kipato kidogo, na mke ana mahusiano na mtu mwingine, hana uwezo kutunza watoto, marekani kwa sheria zao usipotunza watoto unaenda jela. hivyo alichofanya, kwasababu aliona mwanamke amedhamiria aende jela au la hata hicho kidogo anachopata kiwe kinapita moja kwa moja kwa watoto yheye aishi mtaani bila kitu, akaamua kukimbia ili akiwa bongo asaidiwe na hata na babake tu. na alipofika alifikia sebuleni kwa mzee wake. hakuwa na kitu. ungekuwa wewe ni le mutuz ungefanyaje? mimi amenifunza funzo kubwa, ninao watoto wa kambo, na siwezi kuruhusu mtu yeyote hata kama ni mke wangu au watoto wangu wa kwenye ndoa, awatese au kuwabagua hao watoto. never.
 
wale watoto wamepoteza mtu wa muhimu sana kwenye maisha yao, hata wasipoona leo kuna siku watalia sana akili zikiwarudi.
Na Sisi wanaume ifike mahala tujitambue. Unawaaga watoto kua unaenda hapo nje halafu ndio kimoja miaka therasini na ushee kweli kisha Leo useme unaomba msamahaa, na kila siku wanakuona kwenye mitandao upo na maisha mazuri na wanawake warembo.

Sawa tuamini uligombana na mama na hatujui mligombana nini lakini watoto nao ???????? Hapana aisee hapana kabisa.
 
Mi nishajionea hilo, wamama wanapenda tenganisha watoto na baba zao.
Wakikaa nao wanawalisha maneno mabaya mno
Mwisho mtoto naye anakuona mbaya.
Mi ndo maana nina utaratibu wangu, mtu akijifanya anamtaka mtoto akamhudumie kabisa, sitaki usumbufu
Mkuu ninapitia the same situation kwa mzazi mwenzangu ila namuachia Mungu, huko mbele itafahamika tu mbivu na mbichi... Dogo akiamua kufata sumu maza ake shauri yake
 
Sasa ndo wamtukane matusi kama suck my dick you ass nigga. Kweli mzazi hata kama kakukosea aje hilo sio tusi la kumpa
Na Sisi wanaume ifike mahala tujitambue. Unawaaga watoto kua unaenda hapo nje halafu ndio kimoja miaka therasini na ushee kweli kisha Leo useme unaomba msamahaa, na kila siku wanakuona kwenye mitandao upo na maisha mazuri na wanawake warembo.

Sawa tuamini uligombana na mama na hatujui mligombana nini lakini watoto nao ???????? Hapana aisee hapana kabisa.
 
Na wababa wanaokataa watoto wao wanafika wapi
Unajua kama wanawake wengine unapowakaribisha ndani kwako kama wewe mwanaume jiandae na mastress, misongo ya mawazo, depression ata kufa kabisa bora tuu uende.

Mange Kimambi kila siku mtandaoni kutukana tuu hafanyi kazi yoyote child support tu ndo inampa jeuri.

Msikilize huyo mama hapo chini kasema kitu kizito.
 
Back
Top Bottom