le mutuz hakukosea, alikuwa na kipato kidogo, na mke ana mahusiano na mtu mwingine, hana uwezo kutunza watoto, marekani kwa sheria zao usipotunza watoto unaenda jela. hivyo alichofanya, kwasababu aliona mwanamke amedhamiria aende jela au la hata hicho kidogo anachopata kiwe kinapita moja kwa moja kwa watoto yheye aishi mtaani bila kitu, akaamua kukimbia ili akiwa bongo asaidiwe na hata na babake tu. na alipofika alifikia sebuleni kwa mzee wake. hakuwa na kitu. ungekuwa wewe ni le mutuz ungefanyaje? mimi amenifunza funzo kubwa, ninao watoto wa kambo, na siwezi kuruhusu mtu yeyote hata kama ni mke wangu au watoto wangu wa kwenye ndoa, awatese au kuwabagua hao watoto. never.