Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Sikatai Hilo, nachokuuliza je hakuona umuhimu wa kucheki na watoto once after his life became fine ?alikuwa ameishiwa pesa za kuwatunza na mama yao aliyekuwa anatembea na mwanaume mwingine alikuwa na mpango kwenda kumuattach mahakamani ili awe mtumwa, pesa anazofanya kazi ziwe zinapitia moja kwa moja hukohuko zinapelekwa kwa mama yao na le mutuz angekuwa homeless wa kulala mtaani, anaamka asubuhi anaenda kazini mshahara unaenda kwa watoto na mwanamke ana mwanaume mwingine. marekani issue ya child maintanance ni issue kubwa na usipofanya hivyo unaenda jela. sasa aliogopa kwenda jela, na alipogundua mpango mama yao aliokuwa anaufanya dhidi yake, akatoroka na huyo mwanamke alikuja kujua ameondoka baada ya le mutuz kufika London Ulaya, hana jinsi tena, ile kuwa amemkosakosa ndio hasira na ugomvi hadi leo. mbona alishayaeleza haya? wewe kama mwanaume unaona jela hii hapa na mwanamke anataka akakuattach uwe unafanya kazi hulipwi hela anachukua yeye ati za kutunzia watoto na wewe unaona akichukua hujabaki na kitu, utakuwa mtumwa hadi watoto wafikishe 18 ungefanyaje? ndio maana aliamua kukimbia akatua kwenye sebule ya babake. anasemaga hadi leo aliporudi hapa alirudi sijui na dola elfu moja tu ya kuanzia maisha. hakuwa na kitu.
Kumbuka leaked post yake Kwa watoto ilikua ni after 30 years since amewatoroka.