Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Ashampoo utadhani we ndio Lemutuz unavyoandika kwa hisiaWatoto wa Lemutuz kama mnasoma ujumbe huu msameheni baba yenu aande kwa amani aliwakimbia marekani labda maisha yalikuwa magumu ....ASHAMPOO hapa
N A K A Z I A [emoji419]Mitoto ikishalelewa au kuwa upande wa mama watakiwa iacha usiiweke karibu maana inakuwa na akili za kike
Na wababa wanaokataa watoto wao wanafika wapiWatoto wanaomkataaga Baba yao huwa hawafikagi mbali. Wanakiwa na hisia sana, hawajali chochote wala kumsikiliza mtu yoyote mpaka wakutana na watoto wa mama wenzao hapo ndo hutokea mengi.
Mi nishajionea hilo, wamama wanapenda tenganisha watoto na baba zao.N A K A Z I A [emoji419]
Sasa kama mnawajaza ujinga tuendelee kuwahidumia?Na wababa wanaokataa watoto wao wanafika wapi
Wale watoto hawatakuwa na amani, mama yao kawaponza...Walimtukana vibaya sana. daah kuna wanawake wanajua kuwajaza sumu watoto wao
Na Sisi wanaume ifike mahala tujitambue. Unawaaga watoto kua unaenda hapo nje halafu ndio kimoja miaka therasini na ushee kweli kisha Leo useme unaomba msamahaa, na kila siku wanakuona kwenye mitandao upo na maisha mazuri na wanawake warembo.wale watoto wamepoteza mtu wa muhimu sana kwenye maisha yao, hata wasipoona leo kuna siku watalia sana akili zikiwarudi.
Mkuu ninapitia the same situation kwa mzazi mwenzangu ila namuachia Mungu, huko mbele itafahamika tu mbivu na mbichi... Dogo akiamua kufata sumu maza ake shauri yakeMi nishajionea hilo, wamama wanapenda tenganisha watoto na baba zao.
Wakikaa nao wanawalisha maneno mabaya mno
Mwisho mtoto naye anakuona mbaya.
Mi ndo maana nina utaratibu wangu, mtu akijifanya anamtaka mtoto akamhudumie kabisa, sitaki usumbufu
Na Sisi wanaume ifike mahala tujitambue. Unawaaga watoto kua unaenda hapo nje halafu ndio kimoja miaka therasini na ushee kweli kisha Leo useme unaomba msamahaa, na kila siku wanakuona kwenye mitandao upo na maisha mazuri na wanawake warembo.
Sawa tuamini uligombana na mama na hatujui mligombana nini lakini watoto nao ???????? Hapana aisee hapana kabisa.
Wale watoto hawatakuwa na amani, mama yao kawaponza...
Unajua kama wanawake wengine unapowakaribisha ndani kwako kama wewe mwanaume jiandae na mastress, misongo ya mawazo, depression ata kufa kabisa bora tuu uende.Na wababa wanaokataa watoto wao wanafika wapi
Wamama kuwaachia watoto basi tu sheria inakuwa upande wao, ila hawafai kwa maleziMkuu ninapitia the same situation kwa mzazi mwenzangu ila namuachia Mungu, huko mbele itafahamika tu mbivu na mbichi... Dogo akiamua kufata sumu maza ake shauri yake