Umejaribu kuandika lkn ulikuwa na haraka, you were not composed. Kwa mimi peke yangu naomba kujua hayaUkiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote
Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta
Jamaaa alikuwa na marafiki wengi wenye vipato hasa hela chafu nikisema hela chafu naamanisha chafu hela za deal za kimafia lakini hakushawishisika kuingia huko aliendelea kuishi na kipato chake cha kawaida na kile kigari chake mimi nimemuona nacho miaka mingi kinomahhivi hakuwa na tamaa ovyo.
Alipenda sana starehe alifanya kazi jioni unamkuta kwenye starehe zake na mabebez watu wanalalamika ila hela alikuwa anajitafutia mwenyewe so matumiz yake
Kwenye siasa yeye huko ndo alikuwa ana marafiki wa kila aina alijaribu ila siasa sio za wote..... japo za chini wana sema jamaaa usalaama(TISS) we huoni kesho anaagwa pale karimjee pale huwa haagwi kajamba nani
Mzee wake malecela kapoteza kijana wake RIP POLE MZEEE
Hapa mwishoni le mutuz alikuwa kama gari la mkaa safari moja kijijini safari nyingine gereji.... mwishoni afya ya lemutuz ilianza kumsumbua hasa moyo alikuwa analazwa sana pale Muhimbili kitengo cha jakaya mambo ya moyo
Baaada ya kuona hali hiyo alijua mwisho wake hauko mbali miaka ya nyuma aligombana na mke wake na watoto sasa aliwatumia meseji kuwaomba msahamaha pia kuwaambia anaumwa hivyo anaomba msamaha.
Yale matoto yana roho ngumu yakamtumia zile meseji Mange Kimambi akapost kwenye ile app yake na Mange alifurahi maana watu hawa ni maadui akalipua hewani zile meseji.
Ila nadhani Le Mutuz alikuwa anaomba msamaha akijua tu huu mwisho wake umefika mara nyingi watu hupenda kuomba msamaha kabla ya mauti.
Watoto wa Lemutuz kama mnasoma ujumbe huu msameheni baba yenu aande kwa amani aliwakimbia marekani labda maisha yalikuwa magumu ....ASHAMPOO hapa.
Kama aliomba msamaha basi hata Mbinguni ameshasamehewa, na dhambi zote na laana zote zimeshawashukia hao waliokataa msamaha huo, its the natural order of life and death.Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote
Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta
Jamaaa alikuwa na marafiki wengi wenye vipato hasa hela chafu nikisema hela chafu naamanisha chafu hela za deal za kimafia lakini hakushawishisika kuingia huko aliendelea kuishi na kipato chake cha kawaida na kile kigari chake mimi nimemuona nacho miaka mingi kinomahhivi hakuwa na tamaa ovyo.
Alipenda sana starehe alifanya kazi jioni unamkuta kwenye starehe zake na mabebez watu wanalalamika ila hela alikuwa anajitafutia mwenyewe so matumiz yake
Kwenye siasa yeye huko ndo alikuwa ana marafiki wa kila aina alijaribu ila siasa sio za wote..... japo za chini wana sema jamaaa usalaama(TISS) we huoni kesho anaagwa pale karimjee pale huwa haagwi kajamba nani
Mzee wake malecela kapoteza kijana wake RIP POLE MZEEE
Hapa mwishoni le mutuz alikuwa kama gari la mkaa safari moja kijijini safari nyingine gereji.... mwishoni afya ya lemutuz ilianza kumsumbua hasa moyo alikuwa analazwa sana pale Muhimbili kitengo cha jakaya mambo ya moyo
Baaada ya kuona hali hiyo alijua mwisho wake hauko mbali miaka ya nyuma aligombana na mke wake na watoto sasa aliwatumia meseji kuwaomba msahamaha pia kuwaambia anaumwa hivyo anaomba msamaha.
Yale matoto yana roho ngumu yakamtumia zile meseji Mange Kimambi akapost kwenye ile app yake na Mange alifurahi maana watu hawa ni maadui akalipua hewani zile meseji.
Ila nadhani Le Mutuz alikuwa anaomba msamaha akijua tu huu mwisho wake umefika mara nyingi watu hupenda kuomba msamaha kabla ya mauti.
Watoto wa Lemutuz kama mnasoma ujumbe huu msameheni baba yenu aande kwa amani aliwakimbia marekani labda maisha yalikuwa magumu ....ASHAMPOO hapa.
Huyo aliyefariki kabla ya kusamehe ataulizwa, wewe unahitaji msamaha, akisema ndio ataulizwa, wewe mbona ulikataa kusamehe ulipoombwa msamaha?Mmoj amefariki kabla ya kusamehe na mwingine kafariki kabla jajasamehewa.
Huu ugomvi mwamuzi ni Mungu tu.
Nlitaka kusema hiv hiv kama ww huku heshimu watoto wako Leo unataka hao watoto wakuheshimu Kwa lipi??Sema nini wanaume mkiamua kuharibu mnaharibu kiasi kwamba MTU anabaki na kidonda kisichofutika...mnaomba msamaha wakati MNA changamoto tu
Huyo aliyefariki kabla ya kusamehe ataulizwa, wewe unahitaji msamaha, akisema ndio ataulizwa, wewe mbona ulikataa kusamehe ulipoombwa msamaha?
Huyo mwingine yeye alishaomba msamaha, kazi wanato hawa waliokataa kumsamehe
Mi ndo maana huwa siimbi wala kusikiliza wimbo unaomsifia Mama.Watakuja nao kujionea maana wataoa wanawake kama mama zao ndipo wataelewa baba zao wanapitia nini.
Katika Maisha ya siku hizi wanaume tunajishusha sana. Tunakuwa na huruma za ajabu. Unakuta mtu una thamani kubwa lakini unajidharau na kuchagua mwanamke kwa kutumia hisia. Kwenye hio video huyo mama ameongea kuhusu hisia kuwa anguko la wanaume. Hichi kitu ni cha kweli kabisa ndo maana hata matukio ya watu kuuwa wapenzi yamekuwa mengi. Jamani tusali sana tumuombe Mungu asilimia 90 ya maamuzi yetu yafanyike kutokana na facts na sio hisia.Unajua kama wanawake wengine unapowakaribisha ndani kwako kama wewe mwanaume jiandae na mastress, misongo ya mawazo, depression ata kufa kabisa bora tuu uende.
Mange Kimambi kila siku mtandaoni kutukana tuu hafanyi kazi yoyote child support tu ndo inampa jeuri.
Msikilize huyo mama hapo chini kasema kitu kizito.View attachment 2621919
βMom,mwanaume kuna muda anageuka mnyama hata kusamehe huwez
Kwa marekani hyo ni lugha ya kawaida sana mkuu na wala hawashangai. Sawa na hpa bongo umwambie mtu we boya nini ?Sasa ndo wamtukane matusi kama suck my dick you ass nigga. Kweli mzazi hata kama kakukosea aje hilo sio tusi la kumpa
Kwa marekani hyo ni lugha ya kawaida sana mkuu na wala hawashangai. Sawa na hpa bongo umwambie mtu we boya nini ?
Kwa hyo wewe unaona sahihi yeye Kwa miaka 30 aliyowatoroka watoto No call No text ni poa tu hadi huo msamaha alioomba juzi akiwa kitandani uturuki dhohofu khali eeh.Aaah wewe acha hizo tusi ni tusi tu hakuna cha umarekani wa nini. Hilo neno boya mwambie mshkaji wako tu lakini ukija kumwambia mzazi wako hatakuelewa kabisa. Au uende dukani umuite muuzaji we boya utakua umejitafutia ugomvi mkubwa
Kwa hyo wewe unaona sahihi yeye Kwa miaka 30 aliyowatoroka watoto No call No text ni poa tu hadi huo msamaha alioomba juzi akiwa kitandani uturu
Haya matusi ni makubwa mno inaonekana ni namna gani watoto hawana adabuSasa ndo wamtukane matusi kama suck my dick you ass nigga. Kweli mzazi hata kama kakukosea aje hilo sio tusi la kumpa
Je hao watoto wana umri gani kiasi Cha kutokujua au kuona baba yao kawafanyia nini? Mama anaweza pewa lawama wakati watoto wenyewe wanajitambua, me wengi wana tabia moja mbaya Sana wakigombana na mama na watoto huwachukia na kuwasusa kabisa hata kuwa mbali nao bila ya huduma, mtoto anakuwa na kuikuilta hiyo hali, me wengi humu mtamtetea Marehem, labda kosa NI kumjibu baba yao walichotakiwa ni kukaa kimya Kama hawakutaka kumsameheSasa ndo awajaze chuki watoto wakati ajira aliyonayo kaipata kwa mgongo wa mzee malecela
Huki choz likidondoka ππππ huchomoiii
Wa kwanza ana 33 wa pili ana 31. Sasa piga hesabu aliwaachaje hao malaika Kwa wakat huo kisa tu ugomvi na mkewe.Mmh mkuu miaka 30!!!???kwanza unaifahamu miaka ya wale watoto?