Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

Watoto hawana umuhimu wasamehe au wasisamehe maana hata wao wachafu tu ila kikubwa kumuombea kwa Mungu amsamehe kwa makosa yake kama sisi tunavyoomba kila siku tusamehewe. Tujifunze kila siku kujiombea sababu kila siku tunafanya makosa kwa makusudi au kutokujuwa haya ya binadamu yasituumize kichwa mwenye mamlaka ya kusamehe ni Mungu tu na anasema niombeeni kwa mimi ni mwenye rehma kila kosa anasamehe.
 
Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote

Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta

Jamaaa alikuwa na marafiki wengi wenye vipato hasa hela chafu nikisema hela chafu naamanisha chafu hela za deal za kimafia lakini hakushawishisika kuingia huko aliendelea kuishi na kipato chake cha kawaida na kile kigari chake mimi nimemuona nacho miaka mingi kinomahhivi hakuwa na tamaa ovyo.

Alipenda sana starehe alifanya kazi jioni unamkuta kwenye starehe zake na mabebez watu wanalalamika ila hela alikuwa anajitafutia mwenyewe so matumiz yake

Kwenye siasa yeye huko ndo alikuwa ana marafiki wa kila aina alijaribu ila siasa sio za wote..... japo za chini wana sema jamaaa usalaama(TISS) we huoni kesho anaagwa pale karimjee pale huwa haagwi kajamba nani

Mzee wake malecela kapoteza kijana wake RIP POLE MZEEE

Hapa mwishoni le mutuz alikuwa kama gari la mkaa safari moja kijijini safari nyingine gereji.... mwishoni afya ya lemutuz ilianza kumsumbua hasa moyo alikuwa analazwa sana pale Muhimbili kitengo cha jakaya mambo ya moyo

Baaada ya kuona hali hiyo alijua mwisho wake hauko mbali miaka ya nyuma aligombana na mke wake na watoto sasa aliwatumia meseji kuwaomba msahamaha pia kuwaambia anaumwa hivyo anaomba msamaha.

Yale matoto yana roho ngumu yakamtumia zile meseji Mange Kimambi akapost kwenye ile app yake na Mange alifurahi maana watu hawa ni maadui akalipua hewani zile meseji.

Ila nadhani Le Mutuz alikuwa anaomba msamaha akijua tu huu mwisho wake umefika mara nyingi watu hupenda kuomba msamaha kabla ya mauti.

Watoto wa Lemutuz kama mnasoma ujumbe huu msameheni baba yenu aande kwa amani aliwakimbia marekani labda maisha yalikuwa magumu ....ASHAMPOO hapa.
Umejaribu kuandika lkn ulikuwa na haraka, you were not composed. Kwa mimi peke yangu naomba kujua haya
1. Jina Le mutuz linatokana na nini

2. Kwanini aligombana na watoto ake?
3. Mke wake yuko wapi?
4. Watoto wake wako wapi?
5. Le Mutuz alikuwa na kazi gani/biashara gani?
6. Tabata-Posta vina uusiano gani?
 
Kuna wakati wakina Mama ni sumu mbaya sana ugomvi wao ambao kwa kiasi kikubwa haiuwahusu watoto watawaingiza tu na mbaya zaidi huyo Mama akipata mwanamme nje atatumia ngivu zote watoto wampende baba wa kambo na kumfanya kama malaika sababu tu yeye anampenda basi na watoto wampende akichukia yeye basi wote wachukie hii ndio shida ya kina Mama wengi ila nadra sana wa Baba kufanya haya. Inawezekana Baba kafanya kosa ila kwanini upandikize chuki na wakti mwingine ni kuachana tu wivu unaanza kuweka sumu kwa watoto. Mama mzuri ni yule mwenye kuficha ugomvi wao na kusema huyu Baba yenu mpeni heshima yake yangu hayawahusu ni ugomvi wetu na kuna wakati kosa la Mama ila siku zote wanawake wanapenda kua act victim kwa bahati mbaya sana. Mimi binafsi ikitokea watoto kuninunia wala sitapoteza usingizi. Le Mutuz kaishi maisha yake..
 
Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote

Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta

Jamaaa alikuwa na marafiki wengi wenye vipato hasa hela chafu nikisema hela chafu naamanisha chafu hela za deal za kimafia lakini hakushawishisika kuingia huko aliendelea kuishi na kipato chake cha kawaida na kile kigari chake mimi nimemuona nacho miaka mingi kinomahhivi hakuwa na tamaa ovyo.

Alipenda sana starehe alifanya kazi jioni unamkuta kwenye starehe zake na mabebez watu wanalalamika ila hela alikuwa anajitafutia mwenyewe so matumiz yake

Kwenye siasa yeye huko ndo alikuwa ana marafiki wa kila aina alijaribu ila siasa sio za wote..... japo za chini wana sema jamaaa usalaama(TISS) we huoni kesho anaagwa pale karimjee pale huwa haagwi kajamba nani

Mzee wake malecela kapoteza kijana wake RIP POLE MZEEE

Hapa mwishoni le mutuz alikuwa kama gari la mkaa safari moja kijijini safari nyingine gereji.... mwishoni afya ya lemutuz ilianza kumsumbua hasa moyo alikuwa analazwa sana pale Muhimbili kitengo cha jakaya mambo ya moyo

Baaada ya kuona hali hiyo alijua mwisho wake hauko mbali miaka ya nyuma aligombana na mke wake na watoto sasa aliwatumia meseji kuwaomba msahamaha pia kuwaambia anaumwa hivyo anaomba msamaha.

Yale matoto yana roho ngumu yakamtumia zile meseji Mange Kimambi akapost kwenye ile app yake na Mange alifurahi maana watu hawa ni maadui akalipua hewani zile meseji.

Ila nadhani Le Mutuz alikuwa anaomba msamaha akijua tu huu mwisho wake umefika mara nyingi watu hupenda kuomba msamaha kabla ya mauti.

Watoto wa Lemutuz kama mnasoma ujumbe huu msameheni baba yenu aande kwa amani aliwakimbia marekani labda maisha yalikuwa magumu ....ASHAMPOO hapa.
Kama aliomba msamaha basi hata Mbinguni ameshasamehewa, na dhambi zote na laana zote zimeshawashukia hao waliokataa msamaha huo, its the natural order of life and death.
 
Mmoj amefariki kabla ya kusamehe na mwingine kafariki kabla jajasamehewa.

Huu ugomvi mwamuzi ni Mungu tu.
Huyo aliyefariki kabla ya kusamehe ataulizwa, wewe unahitaji msamaha, akisema ndio ataulizwa, wewe mbona ulikataa kusamehe ulipoombwa msamaha?

Huyo mwingine yeye alishaomba msamaha, kazi wanato hawa waliokataa kumsamehe
 
Sema nini wanaume mkiamua kuharibu mnaharibu kiasi kwamba MTU anabaki na kidonda kisichofutika...mnaomba msamaha wakati MNA changamoto tu
Nlitaka kusema hiv hiv kama ww huku heshimu watoto wako Leo unataka hao watoto wakuheshimu Kwa lipi??
Mm najua kila mtu anavuna alichopanda
 
Unajua kama wanawake wengine unapowakaribisha ndani kwako kama wewe mwanaume jiandae na mastress, misongo ya mawazo, depression ata kufa kabisa bora tuu uende.

Mange Kimambi kila siku mtandaoni kutukana tuu hafanyi kazi yoyote child support tu ndo inampa jeuri.

Msikilize huyo mama hapo chini kasema kitu kizito.View attachment 2621919
Katika Maisha ya siku hizi wanaume tunajishusha sana. Tunakuwa na huruma za ajabu. Unakuta mtu una thamani kubwa lakini unajidharau na kuchagua mwanamke kwa kutumia hisia. Kwenye hio video huyo mama ameongea kuhusu hisia kuwa anguko la wanaume. Hichi kitu ni cha kweli kabisa ndo maana hata matukio ya watu kuuwa wapenzi yamekuwa mengi. Jamani tusali sana tumuombe Mungu asilimia 90 ya maamuzi yetu yafanyike kutokana na facts na sio hisia.
 
Sasa ndo wamtukane matusi kama suck my dick you ass nigga. Kweli mzazi hata kama kakukosea aje hilo sio tusi la kumpa
Kwa marekani hyo ni lugha ya kawaida sana mkuu na wala hawashangai. Sawa na hpa bongo umwambie mtu we boya nini ?
 
Aaah wewe acha hizo tusi ni tusi tu hakuna cha umarekani wa nini. Hilo neno boya mwambie mshkaji wako tu lakini ukija kumwambia mzazi wako hatakuelewa kabisa. Au uende dukani umuite muuzaji we boya utakua umejitafutia ugomvi mkubwa

Kwa hyo wewe unaona sahihi yeye Kwa miaka 30 aliyowatoroka watoto No call No text ni poa tu hadi huo msamaha alioomba juzi akiwa kitandani uturuki dhohofu khali eeh.
 
Sasa ndo awajaze chuki watoto wakati ajira aliyonayo kaipata kwa mgongo wa mzee malecela
Je hao watoto wana umri gani kiasi Cha kutokujua au kuona baba yao kawafanyia nini? Mama anaweza pewa lawama wakati watoto wenyewe wanajitambua, me wengi wana tabia moja mbaya Sana wakigombana na mama na watoto huwachukia na kuwasusa kabisa hata kuwa mbali nao bila ya huduma, mtoto anakuwa na kuikuilta hiyo hali, me wengi humu mtamtetea Marehem, labda kosa NI kumjibu baba yao walichotakiwa ni kukaa kimya Kama hawakutaka kumsamehe

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom