Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

Hii point yako inabeba maana kubw sana na sijui kama wengi tutakuelewa.
Ukiangalia kwa undani kuna wanaong'ang'ania mfumo wa siasa tulionao sasa na wanaona ndio unawasidia kuendeleza haya mambo. Ndio maana ukiangalia uwezo na competence ya huyu aliyefariki hivi sasa huwezi kumlinganisha na hawa 'wanaopenyezwa' kwa kulazimisha.

Mwisho wa siku ukitafiti vizuri unagundua ukweli wa akili ndogo kutawala akili kubwa. Hebu angalia mtoto wa PM mstaafu mwingine, yuko huko kwenye kazi kubwa kubwa za UN, Muda utaongea zaidi
 
Prof Kitila wa Chadema alipoteuliwa KM wizara ya maji alipanda kutokea wapi?

Usiwe unaonja sana hadi unalewa manka!
Hivi kumbe wewe ni mbumbumbu kiasi hiki?
Unadhani kazi ya U Katibu mkuu wa wizara ni ya CCM? Hiyo ni ajira ya serikalini na Kitila alikuwa mtumishi wa umma kama mhadhiri hivyo alistahili kuwa promoted na kupewa KM wa wizara! Kumbe unaandika sana JF but uwezo wako wa ufahamu uko that much low?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wataingia tu nao Bungeni Ubunge na Uwaziri ni wa Familia kwa sasa kama Baba yako hakuichangia TANU usitegemee labda kwa UCHAWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Lemutuz ni mtoto wa nje, hakua sana kwenye mapenzi ya familia na alilisema hili. Hivyo kupata vyeo kupitia baba isingewezekana
 
Le mutuz ni bilionea anakaa na mabilionea wenzake kama akina mosha, hawezi kukaa the whole day bungeni muda huo anautumia kuingiza mapesa...le akili kubwaaz, american spirit
Mkuu Hivi bilionea mosha ni yupi/nani?
 
Kwahiyo Jo siasa ndio kila kitu kwako?
Jamaa nimemshusha sana! Sikutegemea kuwa ni KIRUNDU kiasi hicho?
Maneno meeengi JF kumbe IQ 7% ! Products za uvccm ni fake kabisa
 
Umemsahau Samia jr, anaita wanu
Na wote hao ni majuha watupu, hebu nieleze Kati ya nani intelligent?
Kawawa jr, makamba nr, nnauye jr, kikwete jr, ditopile jr, Samia jr
 
Upo sahihi, kitilia ni professional. Tena makatibu wakuu wengi walikua wakitolewa udsm. Ukiachia wale waliokua promoted kutoka wizarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…