Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

Hiyo ndiyo sumu inayoliangamiza Taifa!
 
Umemsahau " wapigwe tu jr'
Hivi Makinda Hana kinda linalofaa kuteuliwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa?
 
nadhani wagogo hawana bahati
 
Umeelewa, hajawahi kuwa na bifu ila hawakua karibu. Ndio maana yeye alijipignaia Ila wenzake walisomeshwa na kupata kila kitu kutoka kwa baba

Mbona historia yake kaiweka wazi, kaishi vipi na kalelewa na nani...hii ni moja ya nukuu zake

"by the time nimefika Form Two I was a Super Street Smart nikaamua kuanza kuishi mwenyewe nikapata Studio Chumba kikubwa pale YMCA! pembeni ya Holidays In Hotel Downtown so nikahama kutokea lkulu kwa my Uncle Balozi Lusinde ambaye then alikuwa Waziri wa Mawasiliano"
 
Yaani kwa bongo makatibu wakuu waliotokea vyuoni ni wengi sana,ninaowajua mimi,francis michael-udsm,prof eliamani sedoyeka-TIA,jimmy jonas -IFM,emmanuel ole gabriel -IFM,kuna yule akitoka udsm akaenda nssf nae sasa ni katibu mkuu sonebody kahrayra sijui
 
Katibu mkuu wizara ya madini prof' Msanjila from Mzumbe University
 
Halafu unampa uwaziri
Dunia ina mambo mengi sana hii...watu wengine wanachoka kufanya kazi...wengine wanachoka kupiga picha na wabebez mpaka kulala hospitalini...kwa ile kitu wazungu wanaita fatigue 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kuna siku Hawa vilaza ma juniour ndiyo watakua wanaendesha nchi.
Mmoja wao akishika hata u PM tu, tumeumia.
Kati ya Hawa vilaza nitajie mmoja aliyepata division one fomfoo.
Makamba alifutiwa matokeo ya fomfoo kwa kilichohisiwa udanganyifu japo the guy is bright.
Halafu Hawa vilaza wakija kuwatumbukiza watoto wao kwenye system ndio mtajua hamjui.
 
Sidhani hata kama wanaishi Tanzania, ni vijana wawili wa kiume...
Umeambiwa mmoja ni katibu Mkuu wizara sasa wizara ndio ipo nje?

Wapo bongo sana tu

Hawana vimbelembele kama hao wengine
Siasa sio kipaumbele kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…