Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Kuchomekea ndio nidhamu ?

Sasa wavaa Rubega si ndio tutawachoma moto !!!, Anyway haya mambo ya fashion na huu ndio wakati wa vijana kuwa against administration au ku-appear unique ndio kuonekana COOL..., huu ni wakati wao...

Kulikooza ni huko Juu ambapo mfano tunaowapa hawa vijana kwamba kukopa / kuomba ni kawaida..., na nyie wazazi jamii kuwaonesha kwamba fedha ndio kila kitu na rushwa / kuiba katika nafasi yako ndio ujanja; hayo mengine ni petty let them express themselves.... What is Right / Wrong is Subjective..., Children wants to look cool not necessarily smart..., Wakiwa kwenye compound za shule ndio wanahitaji ku-follow the rules na wasipofuata watakuwa punished accordingly
 
Ushafika kibaha boys, tumbi sec ,Marian sec then angalia kama Kuna uvaaji huo usio na nidhamu. Kisha Rudi Kwa hawa wanaovaa za vipedo,na mashati mafupi. Linganisha ufaulu wao. Uvaaji ni sehemu kuvea ya nidhamu
Kwahio unafkiri kwasababu ya uvaaji tu ndio hizo shule zinaongoza? Shule za marian hizo miundombinu ya kusomea iko viri zaidi kulinganisha na hizo shule znazofail.
Mm nilisomea shule za kaizirege (ambazo zimeongoza kwa miaka sijui mingapi mfululizo) pale shuleni kuvaa modo tulikua tunavaa vizuri tu (japo zilikua haramu), tulikua hatuchomekei na bado kitaifa tuliongoza kwa matokeo... wakati huo kuna shule zenye maadili, za kiislamu wao wamekaziwa sana kwenye sheria/nidhamu(za uwoga) alafu mwisho wa siku zina perform poorly...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue wazungu wanajielewa kuliko Wabongo?

Ndo maana ni nadra kukuta mimba za utotoni (zipo ila ni tofauti na huku Afrika).
Wanapewa elim mapema jinsi yakujizuia na mimba wapo wazi kwa watoto zao uku kwetu si wanakazania kwenye mavazi wanaacha swala la elimu ya mahusiano wakidhani ni uvunjifu maadili kuzungumzia ayo mambo wanakazana wenyewe na masuruali ya malinda

Alafu kingine uku walimu wenyewe ni mabingwa wakutomb* vitoto vya shule yani nakumbuka kipindi nipo school nilikua na bifu zitu sana na teacher tunagombea demu mmoja yani ni vita school ananiadabisha stick za kutosha kitaani namuadabisha sahiz ni washikaji sana ananambia class kwetu hakugonga madem wawili tu [emoji16]

Wazazi fatilieni watoto zenu tena walimu wengine wanajifanya wastaarabu kumbe wanavibikir sana vibint vyenu kimya kimya havisemi
Madem 5 niliowah kuwa nao walitolewa bikra na mateacher tena ni watu wazima tu

Elimu inatakiwa izingatiwe sio kuchapa watoto eti suruali sio bwanga kwanza madogo hawapendezi yani anavaa suruali kama ya mtu mzima na ilikua old style tulikua tunavaa misuruali mikubwa hata mtaani ndo ilikua fashion
 
Kule kwetu wana ethics sana.
Huku kwetu ethics ni 0

Ila wanafunzi nao wepesi sana, ukiamua tomba wanafunzi unaweza toa bikra hata 100 ndani ya mwaka
 
Inasikitisha sana kuona mada za kipuuzi kama hizi,,,hivi ni lini watanzania watajifunza kujadili mambo yenye tija.....ww mleta mada nachelea kukwambia kuwa ww ni SMALL MIND maana hujaonyesha ni kwa jinsi gani kutokuchomekea kuna athiri masomo ya hao vijana.....again ww na wenzako mnaotetea upuuzi wa kurithishwa(uniform) hamna critical wala analytical mind yoyote ya kuweza kuona tatizo hasa ni nini bali ni walalamishi mliotengenezwa na mfumo mbovu wa elimu mlioupata enzi mnasoma.

Ni wangapi walikuwa wanachomekea na kuvaa sare mabwanga lakini leo ndo mafisadi wakubwa,,,,wazinzi,,wavivu,,,,watoro maofisi,,,wezi na waongo maofisini pamoja na kuchomekea kwao.....Je nidhamu ni nini????
 
Kwanza wao wenyewe na umajinun wao..pili wazazi..walimu wakuonewa tu.
 

Wanafunzi wa shule za serikali hawana nidhamu kabisa, nadhani hii inachangia kwa kiasi kikubwa kupata masifuri.

Mtoto hachomekei, suruali ni fupi haigudi kiatu, kiatu amekivaa bila soksi na kiatu sio cha kamba. Hapo hatujagusa kichwani alivyonyoa. Na ukija kwa hawa mabinti ndio uvaaji utakushangaza.

Walimu ndio wanapaswa kulaumiwa kwenye hili, shule zina taratibu zake, kama mtoto ameshindwa kizifuata arudishwe nyumbani akakae na huyo mzazi wake mjinga.

Shule zinapaswa kuwa na walimu wa nidhamu, na wafanye kazi. Haya uliyosema kwa mtu mjinga anaweza kuona ni mambo madogo.
 
Picha iko wapi
 
Subiri uwe mzazi kwanza labda utaelewa umuhimu wa nidhamu ya mtoto,sasahivi mambo ya 'mbele'bado yamekukaa kichwani.
 
Haha.. mavazi hayachangii katika kupata masifuri kwa shule za kata. Hivi ushaona miundombinu ya elimu kwenye shule zinazofaulu zaid? Shule zinampaka A/C ww unaongelea mavazi... ushasoma shule international ww? Wale hawavai viatu vya kamba wala mabwanga ila wanafaulisha vizur tu... shule za serikali zinafeli sana, ndio. Lakini namna wanavyovaa sio sababu inayochangia "kwa kiasi kikubwa" kama unavodai ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ...wanafunzi wanandoto za kuwa diamond,alikiba,omy dimpoz na wengineo ...asilimia kubwa ni hivo...
 
Asante kwa mawazo
 
Zilaumiwe bangi wanazovuta.
 
Yanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
.....na WAZAZI wapo wanawaangalia tu!....
 
Kuchomekea ama kutochomekea kunaongeza nini katika taaluma ya mwanafunzi??? Mbona huko vyuoni hawachomekei wala kupangiwa wavae sare gani!!!

Acheni tabia za kikoloni hatuishi karne ya 17
 
Kuchomekea ama kutochomekea kunaongeza nini katika taaluma ya mwanafunzi??? Mbona huko vyuoni hawachomekei wala kupangiwa wavae sare gani!!!

Acheni tabia za kikoloni hatuishi karne ya 17
Hujui umhimu wa sare (uniformity's)
Basi ofisi na taasisi wasingeweka sare, polisi wasivae sare, jeshini wavae vijora, madaktali wavae bikini.
Ma rubani wavae pajama n.k
 
Kunamengi mazito ya kukomaa nayo ktk elimu yetu Africa ukiachana na kuchomekea, Elim yetu inamsaada mdogo sana kwa wanafunzi uko mbelen
 
Nidhamu mkuu, nidhamu. Shule unazoziongelea hapo nidhamu yao ni ya juu mno. Sidhani hata kama umeelewa nilichoandika kabla hujanijibu.

Nilipozungumzia viatu vya kamba na viwango vya suruali ni kwasababu najua shule za serikali wana viwango vyao kwenye suruali na viatu ni lazima viwe vya kamba na vyeusi, pia ni lazima mtoto achomekee muda wote. Mtoto asipotimiza hili inamaana hana nidhamu.

Hizo shule ulizoziita 'International' sidhani kama wana huo utaratibu wa kuvaa viatu vya kamba na viwango vya suruali halafu watoto hawazifuati. Nafahamu shule ulizoita wewe za 'International' hawana vizuizi vingi kwenye aina ya uvaaji tofauti na shule za serikali.

Huwezi kukosa nidhamu na ukafanikiwa hapa Duniani, sahau hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…