Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuchomekea ndio nidhamu ?
Sasa wavaa Rubega si ndio tutawachoma moto !!!, Anyway haya mambo ya fashion na huu ndio wakati wa vijana kuwa against administration au ku-appear unique ndio kuonekana COOL..., huu ni wakati wao...
Kulikooza ni huko Juu ambapo mfano tunaowapa hawa vijana kwamba kukopa / kuomba ni kawaida..., na nyie wazazi jamii kuwaonesha kwamba fedha ndio kila kitu na rushwa / kuiba katika nafasi yako ndio ujanja; hayo mengine ni petty let them express themselves.... What is Right / Wrong is Subjective..., Children wants to look cool not necessarily smart..., Wakiwa kwenye compound za shule ndio wanahitaji ku-follow the rules na wasipofuata watakuwa punished accordingly