Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Ila tumechapwa aiseee duuu,nikikumbuka sina hamu kabisaaaa.

Hawa wa sasa hivi mayai tu!
 
Mithali 22:15

Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye.

Ama kweli wazazi wetu walikua wacha Mungu sana.
 
Ukicheka wakubwa wakijamba utachapwa.
 
Me sio mtundu sidhani kama ningekuwa nachapwa
Kama wewe dunia ndio ungeiona chungu na unavyopenda kujipisha walipo wanaume. Fimbo kila siku zingekuhusu[emoji23][emoji23]
 
umenikumbusha kwao na mshikaji wangu before hawajatenga msosi kama Mzee wao yupo wanaanza kumuimbia alikuwaga anajiita gadafi.
 
ukimgegeda mtoto wa jirani utachapwa
ukichelewa kuhesabu namba shule utachapwa
ukichelewa kuingia darasani baada ya break utachapwa
 
í ½í¸í ½í¸í ½í¸ mkuu ongeza mtu mzima akijamba sawa ila wewe ukijamba una hatua na lazima uchapwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…