Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kike kama wewe ndio ilikuwa balaa. HupumuiMlikuwa mnapata tabu[emoji23]
Me sio mtundu sidhani kama ningekuwa nachapwaMtoto wa kike kama wewe ndio ilikuwa balaa. Hupumui
Kama wewe dunia ndio ungeiona chungu na unavyopenda kujipisha walipo wanaume. Fimbo kila siku zingekuhusu[emoji23][emoji23]Me sio mtundu sidhani kama ningekuwa nachapwa
umenikumbusha kwao na mshikaji wangu before hawajatenga msosi kama Mzee wao yupo wanaanza kumuimbia alikuwaga anajiita gadafi.1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaanguka, utachapwa.
27. Ukitembea na mtu mzima, akajikwaa ukamcheka, utachapwa.
28. Ukijamba mbele ya wakubwa, utachapwa.
29. Mtu mzima akijamba, ukamwangalia, utachapwa.
30. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
31. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
32. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
33. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
Mhenga Ongezea...
Hahaha weee 😂 😂Kama wewe dunia ndio ungeiona chungu na unavyopenda kujipisha walipo wanaume. Fimbo kila siku zingekuhusu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]ukichapwa utachapwa
anaaga dunia, kwamba anaenda wap[emoji1787]Watoto wa siku hizini ni nyanya nyanya
Ukimchapa anaaga dunia.