Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Utakapokuta vijana wako wote nimashoga na kizazi kimeishia hapo utaelewa kwanini watu wanaupinga kwa nguvu zote.

Kama taifa tukijikuta 90% ya wanaume wamekua mashoga tutaelewa shida iliyopo kwenye ushoga ni zaidi ya shida ya ugali ambayo unaweza kupambana nayo kwakutumia rasilimali ulizonazo.

Tuombe Sana hili la ushoga lisikite mizizi tujaribu kupambana nalo kwa nguvu zote.
 
Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Haramu haihalalishi halamu
 
Unawapa mbinu ili ufaidi nini?
 
Ushoga upo na ulikuwepo enzi na enzi unafanyikia vyumbani

Huu mfumuko wa bei na maisha kupanda ndio utawafanya Vijana wauze makalio yao kuliko kipindi chochote kile
 
Kinachokuogopesha mpaka unafuatilia maisha binafsi ya watu wasiokuhusu ni wewe au kijana wako kuna siku mnaweza kugeuka kuwa mashoga?
 
Katiba yetu mpya kuwe na HAKI za makundi yote ya Jamii tusiache kundi lolote nje.

Unaelewa kuwa kuna Binadamu anazaliwa akiwa na Sex zote yaani intersex? Je ni makosa yao au ya nani?

What does intersex mean? Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn't fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”.
 
Hoja za kijinga hizi
 
Hii issue ni simple sana, kama wakenya wametoa msimamo wao ukaheshimiwa na hayo mataifa ya maghabiri, kwanini sisi tusiweze?

Serikali yetu imekuwa ya kinyonge sana, imelala kwa uoga mpaka sasa wananchi.ndio wameamua kuwa mbele ya serikali kwenye maamuzi, hili ni jambo la ajabu sana.
 
Huku rais wa mpito aliingilia mahakama akafuta kesi ya muhuni lema hiyo mbinu haitofanya kazi
 
Kama Katiba hiyo inayotafutwa ni kwa ajili ya USHOGA hakuna haja ya kuhangaika nayo kwani ni haramu na batili.
 
Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Bongo ni vituko na comedy sana kuna wajinga wengi sana.

Wanafkiri nchi yetu ni nchi kubwaa labda inaweza kuongea na kusikilizwa kumbe hatujui hata pesa za mishahara tunakopa kwa mashoga haohao.

Ni swala la muda hizi vitu vitaruhusiwa na kila serikali.

Muhimu mlinde na mfundishe mtoto maadili komaa na familia yk.
 
Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Janga la ushoga ni kubwa na lina madhara kwa Jamii kuliko hata hio njaa
 
True, sisi kama Taifa tuna matatizo mengi mengi kweli kweli tujue kipaumbele vyetu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…