Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Utakapokuta vijana wako wote nimashoga na kizazi kimeishia hapo utaelewa kwanini watu wanaupinga kwa nguvu zote.Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Haramu haihalalishi halamuUnakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Unawapa mbinu ili ufaidi nini?Ushoga ni kama lazima maadamu Serikali hii iko madarakani hakuna kukwepa kwani ni sehemu ya agenda za WEF ambapo sisi ni member kupitia Watawala wetu sasa Ruto ametatua hili in a very clever way (by the way Ruto ni WEF pia), ameisakizia Mahakama ikapitisha Ushoga halafu yeye akajitoa hadharani kupinga maamuzi ya Mahakama as if yeye hahusiki kwa hiyo Wakenya wanaamini Ushoga ni Mahakama ndiyo imepitisha na Raisi hawezi kuingilia uhuru wa Mahakama, hivyo hakuna political accountability kwani Jaji wa Mahakama hasimami popote kuchaguliwa.
Very clever, …
Ushoga upo na ulikuwepo enzi na enzi unafanyikia vyumbaniUtakapokuta vijana wako wote nimashoga na kizazi kimeishia hapo utaelewa kwanini watu wanaupinga kwa nguvu zote.
Kama taifa tukijikuta 90% ya wanaume wamekua mashoga tutaelewa shida iliyopo kwenye ushoga ni zaidi ya shida ya ugali ambayo unaweza kupambana nayo kwakutumia rasilimali ulizonazo.
Tuombe Sana hili la ushoga lisikite mizizi tujaribu kupambana nalo kwa nguvu zote.
Utakapokuta vijana wako wote nimashoga na kizazi kimeishia hapo utaelewa kwanini watu wanaupinga kwa nguvu zote.
Kama taifa tukijikuta 90% ya wanaume wamekua mashoga tutaelewa shida iliyopo kwenye ushoga ni zaidi ya shida ya ugali ambayo unaweza kupambana nayo kwakutumia rasilimali ulizonazo.
Tuombe Sana hili la ushoga lisikite mizizi tujaribu kupambana nalo kwa nguvu zote.
Hoja za kijinga hiziUshoga ni kama lazima maadamu Serikali hii iko madarakani hakuna kukwepa kwani ni sehemu ya agenda za WEF ambapo sisi ni member kupitia Watawala wetu sasa Ruto ametatua hili in a very clever way (by the way Ruto ni WEF pia), ameisakizia Mahakama ikapitisha Ushoga halafu yeye akajitoa hadharani kupinga maamuzi ya Mahakama as if yeye hahusiki kwa hiyo Wakenya wanaamini Ushoga ni Mahakama ndiyo imepitisha na Raisi hawezi kuingilia uhuru wa Mahakama, hivyo hakuna political accountability kwani Jaji wa Mahakama hasimami popote kuchaguliwa.
Very clever, …
Huku rais wa mpito aliingilia mahakama akafuta kesi ya muhuni lema hiyo mbinu haitofanya kaziUshoga ni kama lazima maadamu Serikali hii iko madarakani hakuna kukwepa kwani ni sehemu ya agenda za WEF ambapo sisi ni member kupitia Watawala wetu sasa Ruto ametatua hili in a very clever way (by the way Ruto ni WEF pia), ameisakizia Mahakama ikapitisha Ushoga halafu yeye akajitoa hadharani kupinga maamuzi ya Mahakama as if yeye hahusiki kwa hiyo Wakenya wanaamini Ushoga ni Mahakama ndiyo imepitisha na Raisi hawezi kuingilia uhuru wa Mahakama, hivyo hakuna political accountability kwani Jaji wa Mahakama hasimami popote kuchaguliwa.
Very clever, …
Kama Katiba hiyo inayotafutwa ni kwa ajili ya USHOGA hakuna haja ya kuhangaika nayo kwani ni haramu na batili.Katiba yetu mpya kuwe na HAKI za makundi yote ya Jamii tusiache kundi lolote nje.
Unaelewa kuwa kuna Binadamu anazaliwa akiwa na Sex zote yaani intersex? Je ni makosa yao au ya nani?
What does intersex mean? Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn't fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”.
Bongo ni vituko na comedy sana kuna wajinga wengi sana.Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Katiba tunayotaka iwe yenye kutoa HAKI bila kubagua nani anamfira nani.Kama Katiba hiyo inayotafutwa ni kwa ajili ya USHOGA hakuna haja ya kuhangaika nayo kwani ni haramu na batili.
Janga la ushoga ni kubwa na lina madhara kwa Jamii kuliko hata hio njaaUnakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Ngoja uzae toto shoga ndipo utaelewaTaifa limejaa watu wengi wenye akili finyu na za hovyo sana kushindwa kufahamu vipaumbele vyao, inasikitisha sana.
True, sisi kama Taifa tuna matatizo mengi mengi kweli kweli tujue kipaumbele vyetu kwanza.Bongo ni vituko na comedy sana kuna wajinga wengi sana.
Wanafkiri nchi yetu ni nchi kubwaa labda inaweza kuongea na kusikilizwa kumbe hatujui hata pesa za mishahara tunakopa kwa mashoga haohao.
Ni swala la muda hizi vitu vitaruhusiwa na kila serikali.
Muhimu mlinde na mfundishe mtoto maadili komaa na familia yk.
Madhara ya kupata Bawaziri labda, ila mfumuko wa bei na kupanda kwa maisha kunafanya vijana wengi wauze tuzi zao kwa bei nafuu.Janga la ushoga ni kubwa na lina madhara kwa Jamii kuliko hata hio njaa