Hakuna mwanadamu anazaliwa shoga sayansi inakataa hili,ushoga ni tabia.Katiba yetu mpya kuwe na HAKI za makundi yote ya Jamii tusiache kundi lolote nje.
Unaelewa kuwa kuna Binadamu anazaliwa akiwa na Sex zote yaani intersex? Je ni makosa yao au ya nani?
What does intersex mean? Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn't fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”.
Hata kabla ya ugumu wa maisha still wanakuwa tayari washazivaa roho hizo kupitia internet.Madhara ya kupata Bawaziri labda ila mfumuko wa bei na kupanda kwa maisha kunafanya vijana wengi wauze tuzi zao kwa bei nafuu.
Bonobo Chimpanzees wanafirana na kusagana na wao pia wameiga umagharibi?Hakuna mwanadamu anazaliwa shoga sayansi inakataa hili,ushoga ni tabia.
Ni ishu za Spirit
Vijana wanajiingiza kwenye vikundi vya kihalifu halafu wanapelekwa Magereza huko ndio wanaenda kufirwa vizuri kwa sababu maisha yamekuwa magumu.Hata kabla ya ugumu wa maisha still wanakuwa tayari washazivaa roho hizo kupitia internet.
Huko kuuza wanapata pesa gani ya kuwatulia umasikini
Kwahiyo Ushoga ni natural unathibitisha.Ngoja uzae toto shoga ndipo utaelewa
Hii issue ni simple sana, kama wakenya wametoa msimamo wao ukaheshimiwa na hayo mataifa ya maghabiri, kwanini sisi tusiweze?
Serikali yetu imekuwa ya kinyonge sana, imelala kwa uoga mpaka sasa wananchi.ndio wameamua kuwa mbele ya serikali kwenye maamuzi, hili ni jambo la ajabu sana.
WEF ndio nini Mkuu mtupe elimu kidogoHoja za kijinga hizi
Wanawaandalia mazingira watoto na wajukuu waoUnakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Ushoga haukuanza leo usagaji haukuanza leo Wapiga punyeto hawakuanza leo.Wanawaandalia mazingira watoto na wajukuu wao
#ushoga ukikubarika watakaoumia sio sisi bali wajukuu wetu
Ushoga sio natural ni tabia ya kuiga au kuingiziwaKwahiyo Ushoga ni natural unathibitisha.
Ni tabia za kuiga maendeleo ya watu fulani na kupuuza thamani ya utu wako ambao mungu alikupa.Ushoga sio natural ni tabia ya kuiga au kuingiziwa
Sio kweli ni tabia ya Big Apes wasome Bonobo chimpsUshoga sio natural ni tabia ya kuiga au kuingiziwa
Ukishamuacha Mungu unakuwa hauna muongozo wa maisha huwezi jua mema na mabaya.Ni tabia za kuiga maendeleo ya watu fulani na kupuuza thamani ya utu wako ambao mungu alikupa.
SAsa wewe ni bonoboSio kweli ni tabia ya Big Apes wasome Bonobo chimps
Kweli kabisa.Ukishamuacha Mungu unakuwa hauna muongozo wa maisha huwezi jua mema na mabaya.
Unakuwa SAwa na mnyama.
Hao wameshatoka kwenye ubinamu.
Tunashea DNA kwa asilimia kubwa.SAsa wewe ni bonobo
Mbona hatushei tabia, ikiwemo civilization,kuongea.Tunashea DNA kwa asilimia kubwa.