Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Katiba yetu mpya kuwe na HAKI za makundi yote ya Jamii tusiache kundi lolote nje.

Unaelewa kuwa kuna Binadamu anazaliwa akiwa na Sex zote yaani intersex? Je ni makosa yao au ya nani?

What does intersex mean? Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn't fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”.
Hakuna mwanadamu anazaliwa shoga sayansi inakataa hili,ushoga ni tabia.
Ni ishu za Spirit
 
Madhara ya kupata Bawaziri labda ila mfumuko wa bei na kupanda kwa maisha kunafanya vijana wengi wauze tuzi zao kwa bei nafuu.
Hata kabla ya ugumu wa maisha still wanakuwa tayari washazivaa roho hizo kupitia internet.
Huko kuuza wanapata pesa gani ya kuwatulia umasikini
 
Hata kabla ya ugumu wa maisha still wanakuwa tayari washazivaa roho hizo kupitia internet.
Huko kuuza wanapata pesa gani ya kuwatulia umasikini
Vijana wanajiingiza kwenye vikundi vya kihalifu halafu wanapelekwa Magereza huko ndio wanaenda kufirwa vizuri kwa sababu maisha yamekuwa magumu.
 
Unaposema haki za binadamu wote.
Hata majambazi, wavuta bangi, wauza unga, wakata mikaa, wavuvi haramu, wapika gongo, walima bangi, vibaka, nk haya makundi kuwazuia kufanya yao ni kuwanyima haki zao za msingi. Maana Kazi ya jambazi ni kuiba kumzuia kuiba ni kumnyima haki yake.
Mtu analima bangi apate pesa kumzuia ni kumnyima haki yake mpishi wa gongo hivyo hivyo.
 
Maandamano yenye Tija ni kupinga mfumuko wa bei na maisha magumu

Na wale mnaoogopa watoto wasiwe mashoga wapakaeni super glue .
 
Hii issue ni simple sana, kama wakenya wametoa msimamo wao ukaheshimiwa na hayo mataifa ya maghabiri, kwanini sisi tusiweze?

Serikali yetu imekuwa ya kinyonge sana, imelala kwa uoga mpaka sasa wananchi.ndio wameamua kuwa mbele ya serikali kwenye maamuzi, hili ni jambo la ajabu sana.

Msimamo gani imetoa Kenya ? Ushoga umesharuhusiwa rasmi Kenya na sasa hivi ndoa ya jinsia moja ni rukhsa, TZ pia ni kama tayari ushoga rukhsa kwa maana Watawala ni WEF wanafwata tu wanachoambiwa, …
 
Unakuta Watu mlo mmoja wenyewe unawasumbua wanaandama kuhusu ushoga badala ya kuandamana kuhusu mfumuko wa bei ushushwe na huyo Waziri mwenye mabasi na timu ya mpira.
Wanawaandalia mazingira watoto na wajukuu wao
#ushoga ukikubarika watakaoumia sio sisi bali wajukuu wetu
 
Wanawaandalia mazingira watoto na wajukuu wao
#ushoga ukikubarika watakaoumia sio sisi bali wajukuu wetu
Ushoga haukuanza leo usagaji haukuanza leo Wapiga punyeto hawakuanza leo.

Tujikite katika kupunguza umasikini.
 
Mungu alimpa muongozo mwanadamu aishije duniani
unapoukataa ni hasara kwako sio kwake.Ukishamuachaa Mungu unakuwa hauna muongozo wa maisha huwezi jua mema na mabaya.
Unakuwa SAwa na mnyama.
Hao wameshatoka kwenye ubinamu.
 
Back
Top Bottom