Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hapo kwenye chadema...[emoji38]???Ukiambiwa kitu kibaya alafu ukauliza kwanin kibaya utachapwa!, ukimnyima mwenzio utachapwa, ukimuomba mwenzio utachapwa
ukishabikia chadema utachapwa
Ilikuwa ni bonge la balaa[emoji38][emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka mbavu zinauma. Umenikumbusha mbali sana, dah!
[emoji38][emoji38][emoji38]Mmmh! Inaelekea mzee wako alikua mkoloni kama Magu.
Kwa sababu kayakubali mwenyewe..[emoji38]Atakayebisha naye atachapwa tu.Mmmmhhh...hamna namna.
Kabisaa...Ukikojoa kitandani
Utachapwa.
Usipoenda shule
Kesi
Usipoosha vyombo kisa mwanamme
Kesi
Ukiwachungulia wanawake chupi
Utachapwa
kuna nin mkuu hapo? hahahaHahahah hapo kwenye chadema...[emoji38]???
kwamba ukishabikia cha.......,utachapwa[emoji125]kuna nin mkuu hapo? hahaha
Sio uongo kabisa wazee wamekunywa maji ya bendera kuna mdogo wangu anaipenda chadema ila akiwa na mzee mdogo wang akisema ubaya wa ccm yan mzee ananuna mpaka ana sahau kama huyo ni mwanaekwamba ukishabikia cha.......,utachapwa[emoji125]
hahahah...huyo mzee ni mkoloniii[emoji38][emoji38][emoji38]Sio uongo kabisa wazee wamekunywa maji ya bendera kuna mdogo wangu anaipenda chadema ila akiwa na mzee mdogo wang akisema ubaya wa ccm yan mzee ananuna mpaka ana sahau kama huyo ni mwanae
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa..
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaanguka, utachapwa.
27. Ukitembea na mtu mzima, akajikwaa ukamcheka, utachapwa.
28. Ukijamba mbele ya wakubwa, utachapwa.
29. Mtu mzima akijamba, ukamwangalia, utachapwa.
30. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila ya wakubwa,utachapwa
31.Ukinawa bila ya wakubwa,Utachapwa
32.Ukimaliza kula ukanyanyuka bila ya wakubwa,Utachapwa
33.Umechelewa kutoka dukani,Utachapwa
34.U..........
KAMA UMEPITIA MALEZI HAYA NA UKAKOSA HESHIMA BASI WEWE NI KONKODIII
-kijiji cha ujamaa
-wadudu wana maajabu
-Nondo mla watu
-sadiki na sikiri
1: Nani atamfunga paka kengele?
2: Sikulamba sukari
3: Mua uliozamisha meli
4: Hawafu mwenye nguvu
5: Sizitaki mbichi hizi
6: Sadiki na Chitemo
7: Juma na Uledi
8: Chopeko na mnofu
9: Kibanga ampiga mkoloni
10: Siku ya gulio Katerero
[HASHTAG]#OldSkulz[/HASHTAG]
[emoji38]Hahahhahaba, mbavu zangu mm
sana mkuu..Wengine hatujapitia ila ni maisha flani hivi amazing[emoji1531][emoji1531]
Ukichelewa tena unalo umaingia mule mule...[emoji38]Ukiwai kutoka shule unalo