Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
sawa kabisa, kwa sisi miaka ya 1967 mpaka 75 tulipitia haya yote.Ni wale manunda walioshindikana zama zile!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kabisa, kwa sisi miaka ya 1967 mpaka 75 tulipitia haya yote.Ni wale manunda walioshindikana zama zile!!
Mtoto analia hataki wali maini, anataka chips, Mama anapigiwa simu yupo ofisini, ana agiza chips KFC , , anapeleka kuku na chips na koka baridi, mtoto anakula, anagoma kulala, anawekewa Cartoons then ndio analala:Ukifuatilia utakuta wazazi wa zamani walilelewa wakaleleka. Sasa hii mizazi ya hovyohovyo imetokea wapi!!!
Kuna wakati unaangalia matukio mtoto anafanya, na mzazi yupo yupo tu unajiuliza "hivi huyu mama/baba yuko timamu?"Mtoto analia hataki wali maini, anataka chips, Mama anapigiwa simu yupo ofisini, ana agiza chips KFC , , anapeleka kuku na chips na koka baridi, mtoto anakula, anagoma kulala, anawekewa Cartoons then ndio analala:
Mtoto wa kiume ana miaka 10 kisha tairiwa na anasimamaisha lakini anaogeshwa na dada wa kazi, hajijui kama yeye ni mvulana, MARA nyingine wazazi wa 1980's mnapotoka sana.
Maisha ya ISIDINGO.Kuna wakati unaangalia matukio mtoto anafanya, na mzazi yupo yupo tu unajiuliza "hivi huyu mama/baba yuko timamu?"