Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Ukifuatilia utakuta wazazi wa zamani walilelewa wakaleleka. Sasa hii mizazi ya hovyohovyo imetokea wapi!!!
 
Mtoto analia hataki wali maini, anataka chips, Mama anapigiwa simu yupo ofisini, ana agiza chips KFC , , anapeleka kuku na chips na koka baridi, mtoto anakula, anagoma kulala, anawekewa Cartoons then ndio analala:

Mtoto wa kiume ana miaka 10 kisha tairiwa na anasimamaisha lakini anaogeshwa na dada wa kazi, hajijui kama yeye ni mvulana, MARA nyingine wazazi wa 1980's mnapotoka sana.
 
Kuna wakati unaangalia matukio mtoto anafanya, na mzazi yupo yupo tu unajiuliza "hivi huyu mama/baba yuko timamu?"
 
Back
Top Bottom