Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

Ni sawa singo mama.....

Ila Mimi nasshuhudua mmomonyoko wa maadili wa watoto wawili tofauti waluolelewa na singo faza Tena wenye maisha mazuri TU!

Leo wanatambulishwa kwa mama huyu kesho mama yule.....alimradi tafrani TU.

So nahitimisha kwamba singo parenting (singo maza, singo faza) inazalisha watu ambao maadili ni hoves kabisa....
 
Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.

Single mama sio cause ya ushoga, hili nitapinga hadi mwisho wa dahari, labda kwa mambo mengine ni sawa mtakua sahihi kadri ya maono yenu, ila kwenye ushoga, hapa hapanaa.
Unapinga kwamba sio kisababishi at all?
 
wewe sema Kama kuna gasho kakubebea bwana wako, sio kuja na hanging facts kuwa single mama ndio chanzo Cha malezi mabovu na ushoga.

single mama ni matokeo ya kuto wajibika kwa watu wawili kwenye uhusiano, aidha baba akatae mimba au mama mdangaji so ana shindwa kujua baba ni yupi.

ushoga ni matokeo ya influence ya watoto au mtu mzima kujaribu Mambo ya kingese, aidha kwa kushawishiwa au tamaa zao wenyewe.

Sioni hoja thabiti hapa binti kiziwi, Shimba ya Buyenze, Eyce hebu mje na hoja tuone hapa🤔
 
Naunga mkono hoja, 👏👏👏
 
Single mother au single father hii sio sababu ya mtoto kufanikiwa au kutofanikiwa kimalezi.

Mambo yanayomjenga mtoto na kuwa bora ni

-Mazingira , mfano mtoto anayelelewa masaki na Mama tu hawezi kuwa Sana na mtoto anayelelewa na Baba na mama uswahilini changanikeni Mbagala au Tandale.

-Shule , mtoto anayesoma Shule bora yenye maadili Kama Fedha hawezi kuwa sawa na mtoto anayekaa darasa moja watoto mia Mwalimu ana stress anapigwa viboko n.k.


- Mahitaji- mtoto ambaye anapata mahitaji bora mfano chakula kizuri sehemu pakulala hawezi kuwa sawa na mtoto anayekula ugali dagaa kila siku na miguu ya kuku.

-Ufahamu wa mzazi , hapa katika ufahamu mzazi akiwa yupo vizuri kichwani maana yake atamuongoza mtoto katika njia sahihi.


Badala ya kulaumu single mother au single father tuchambue tujue kwanini maadili yapo chini na je kwanini yapo chini .


Uwepo wa Baba na mama katika makuzi ya mtoto haimaniishi huyo mtoto atafanikiwa au hatofanikiwa.

Kuna wababa wana akili Sana na walea watoto wao vizuri the same wamama.
 
Kwa povu hili sina shaka kuna singo mama kakuzidi maujuzi, mwenzio yake imebana halafu sio shida zake kuruka judo na kuchungulia uvunguni 🤣🤣🤣🤣

Pole mama mchungaji hili nalo litapita, lol
 
umefikiaje hitimisho lako? au umeongozwa na mihemko? Nakushauri fanya utafiti ingawa nikweli kuwa malezi ya wazazi wote wawili ni muhimu lakini jamii ya sasa imebadilika mno. Ndoa haipewi kipaumbele tena vijana wapo tayari kuzaa ila sio kulea nini kifanyike?
 
Haya tuambie, ushoga unatokana na nini dada yetu koka.
 
Upo sahihi sana. Shetani yupo kazini na anatamalaki kwa sababu anapewa nafasi!
 
Haya tuambie, ushoga unatokana na nini dada yetu koka.
Ushoga upo tangu zamani , ukiona mtu ampaka amekuwa shoga ujue kuna kitu kimeingilia maisha yake ukitaka kuamini kama wewe ni mwanaume embu fikiria kuwa shoga kama hujaona kinyaa.
 
Ushoga upo tangu zamani , ukiona mtu ampaka amekuwa shoga ujue kuna kitu kimeingilia maisha yake ukitaka kuamini kama wewe ni mwanaume embu fikiria kuwa shoga kama hujaona kinyaa.
Kitu gani,shida?maradhi?tamaa?

Au kitu gani?tupe elimu!
 
HIVI NINYI MNAOSEMA SINGLE MAZA WAMESHINDWA MALEZI MNATUMIA UBONGO GANI KUFIKIRI ?

KWANI MBONA HAMTUPI REPORT ZA WATOTO WALIOLELEWA NA SINGLE FAZA, BABU, AUNTY, UNCLE WATOTO WA MITAANI KWANN SINGLE MAZA NDO AWE CHANZO CHA MALEZI MABOVU ??

SINGLE MAZA KAMA MNACHUKUA JUMUISHI LA MZAZI WA KIKE PEKEE MJANE, ALIYEACHWA, ALIYEZALISHWA AMA ALIYETk KWA RIDHAA YAKE HAO WOTE NI SINGLE MAMA,

SIJAWAHI KUONA SINGLE MAZA ANAYEPENDA MWANAE AHARIBIKE, WALA KUPOTEA NJIA, HAKUNA NA HAYUPO

TENA WANATAMANI SANA ILE STRONGEST NA MASCULINE YA MWANAUME IWEPO ILI MAMBO YAENDE SAWA NI VILE TUU MNAJIANDIKIA UPUUZI!!

👉 SANA SANA HASA WANAWAKE WALIOACHIKA AU KUACHWA NA WALIOZALISHWA BAADHI YAO WANAWALISHA SUMU WATOTO DHIDI YA BABA ZAO, HILO SIKUBALIANI NALO, MAAKE ALIJUA NGOMA KILA ATAVYOCHEZA IPO SIKU ITAPASUKA NA IKIPASUKA WOTE AMA YEYE ABEBE JUKUMU LA KUIREKEBISHA

WATOTO KUWA NA MALEZI MABOVU HATA WENYE BABA NA MAMA UNDER ONE ROOF WAPO WENGI TENA SANA,

SHULENI HUKO WATU WALIKUWA WAKIFUKUZWA AU SPAA UTAONA WAZAZI WAWILI WANAKUJA NA BAHATI NZURI DARASA LETU AMBAO WALIKUWA HAWANA WAZAZI NI WACHACHE AU MZAZI MMOJA,

MALEZI YA MTOTO HUATHIRIWA NA MAMBO MENGI, IKIWEMO JAMII NA MAZINGIRA YALIYOMZUNGUKA NDIYO HUPELEKEA MTOTO AHARIBIKE AU AJENGEKE NA SIO SINGLE MAZA WALA NUCLEAR FAMILY

THIBITISHA HOJA KWA KUJA NA TAFITI HUKU UKIONYESHA SAMPLE YA WATOTO WA SINGLE FAMILY, WENYE WAZAZI, WANAOLELEWA NA NDUGU SIO UNAAMKA TOKA KWENYE MKESHA WA MWAMPOSA UNAKUJA DIRECT TO KEYBOARD TO TYPE YOUR SHIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…