Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

Sijui kwa nini hii notion ya single mothers imekuwa kubwa hivi

By the way kwenye kila mtoto kuna pande mbili na kila pande yaweza kupongezwa ama kulaumiwa. Lakini pia tusisahau kuna kizazi cha nyuma pia kililelewa na wazazi wawili kikaharibikiwa

Kuna kizazi cha uswahilini wana wazazi wote wawili ila wameharibikiwa

Kwa hiyo ni vyema kuongelea hii issue kiujumla kuliko kuongelea kwa upande mmoja

Kwa maana kama hakuna strong women bhasi tunabidi tujiulize, strong men wako wapi wa kusimamia haya yanayoharibika

Kama kuna weak mothers, hao strong fathers wanakuwa wapi
 
Ni ukweli usiopingika mimi nimelelewa na baba na mama lkn baadae baba akafariki. Hawa wadogo zangu wawili mama amewaharibu sana. Kingine kama baba angekuwepo sidhani kama ningejihusisha na wanawake wakubwa(mishangazi). Baba ninguzo muhimu katika ukuaji wa mtoto
 
Kitu gani,shida?maradhi?tamaa?

Au kitu gani?tupe elimu!
kasoro za maumbile, kukutana na wanaume wenye roho mbaya wanaharibu hasa watoto, Tamaa za kijinga ndio sababu. Yani inshort mwanaume kamili kuwa shoga sio jambo rahisi yani kwenye ukuaji kuna umri flan ukifika tu unaanza kuvutiwa na wadada🀣 mara umeota unawala unajikojolea mpaka unaingia kwenye mahusiano rasmi . Mtu mapaka anakuwa shoga lazima kuna kitu hakiko sawa tu mkuu sio hivi hivi
 
Na kuna watu wamelelewa na baba na mama na wanapenda mishangazi🀣 pia kuna familia baba anaonekana usiku na asubuhi tu lakini watoto wamenyooka na kuna familia watoto wamekulia boarding lakini wamenyooka . Mimi nadhani jamii nzima inahusika kwenye malezi
 
Ukosahihi ila inshu kubwa hawa mama zetu baada yakuanza kujihusisha na utafutaji wamesahau jukumu Lao kubwa
 
Kwaiyo ambao sio single mama ndo hawana upendo uliopitiliza kwa watoto?..

Chapili hata mwanamke asiye single maza anaweza kuwa singlemaza muda wowote tena na mtoto zaidi ya mmoja maana anaweza fiwa au kuachwa muda wowote
 
Watu wanasingizia tu single parent wakati kuna mashoga kibao wametoka kwenye familia zenye hadi bibi
 
Kuna maeneo hupaswi ishi kama unajitambua
 
Kitu gani,shida?maradhi?tamaa?

Au kitu gani?tupe elimu!
Kitu kikubwa cha kwanza usimwamini ndugu yako au mtu yeyote wa karibu haswa wa Kiume,,, maana hata wa Kike nao siku hizi wanawaharibu watoto wa kiume... Yale mambo ya kalale na Kaka Mkubwa au Baba Mdogo na Mjomba yamewaharibu watoto wengi..
Hizo shida, maradhi na tamaa ni baadaye..
 
Kwa povu hili sina shaka kuna singo mama kakuzidi maujuzi, mwenzio yake imebana halafu sio shida zake kuruka judo na kuchungulia uvunguni 🀣🀣🀣🀣

Pole mama mchungaji hili nalo litapita, lol
Bado nacheka hapa...
povu naona linamwagika kwako...alafu hili lako ni la OMO
 
Kiukweli hamna haja ya kuongeza kitu shemeji.

Swali: Ulienda kupigana? Uzi wenu nimeuona ila nikapita shwaa kama kivuli, nisijeanza kulia πŸ˜…
 
Kwa povu hili sina shaka kuna singo mama kakuzidi maujuzi, mwenzio yake imebana halafu sio shida zake kuruka judo na kuchungulia uvunguni 🀣🀣🀣🀣

Pole mama mchungaji hili nalo litapita, lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Single father's tunawacheki tu , ngoja mabinti zetu waje wawanyooshe , tunanawapika akiwekewa ugoko wewe tia daluga , jino kwa jino, mwendo wa ngiri mkia juu.,Gadeim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…