Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

Hayo ni malezi ya wamama wa uswahilini hata wakiwa kwenye ndoa zao kwa aliyeishi uswazi ataelewa lakini umkute mama kutoka Kanda ya ziwa analea watoto peke yake hawezi kufanya huo upuuzi hata siku moja...
🀣🀣🀣 wamama wa kanda ya ziwa wapoje mkuu? Wanagawa kichapo sana mpaka unakaa kwenye mstari?
 
πŸ’― %+
 
Kwa kweli naunga mkono hoja, nikiwa kama binti wa Baba πŸ˜…
Binti wa baba haumwambii kitu , kesi za vidume kula za uso nazipata kinouma huku shule za msingi , kakiwa kana miaka mitatu nilikasikia kanasema baba angu anapiga vibaya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Binti wa baba haumwambii kitu , kesi za vidume kula za uso nazipata kinouma huku shule za msingi , kakiwa kana miaka mitatu nilikasikia kanasema baba angu anapiga vibaya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ baba unamtunza binti yako hutaki utani kabisa πŸ˜„
Et baba yangu anapiga vibaya 😁😁

Kwa kweli ukiwa binti wa Baba kuna raha sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ baba unamtunza binti yako hutaki utani kabisa πŸ˜„
Et baba yangu anapiga vibaya 😁😁

Kwa kweli ukiwa binti wa Baba kuna raha sana
Na mababa tunajua watunza mabinti zetu hawawezi danganyika na vitu vidogo
 
Aanasema no social problems explaining its causes using single reason una hoja ila na single mother nayo ni interplay factor
Of course yes. Ila huyu jamaa anakatakaa kabisa kuwa haiko katika factor ya hayo.
 
Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.

Single mama sio cause ya ushoga, hili nitapinga hadi mwisho wa dahari, labda kwa mambo mengine ni sawa mtakua sahihi kadri ya maono yenu, ila kwenye ushoga, hapa hapanaa.
Kwani mleta mada kasema tatzo la maadil ni ushoga tu?!! Mbona umeshupalia ushoga ushoga hujaona matatzo mengne aliyokuja nayo mleta mada?!
 
Acheni kuwaza bila kuwazua......siyo ukiwaza tu unaamini bila kutafakali, kwamba watoto watukutu wote wamelelewa na single mother! Embu rudini field mje na tathini sahihi


Mi ni social worker kwa zaidi ya miaka 20, nasikiliza mengi kutoka kwa hao watu, hupaswi kuwachukia kabla hujajua wanayopitia, huu muhadhara umeongozwa na chuki kuliko utafiti HALISI, Anyway tuepuke upotoshaji
 
Kwani mleta mada kasema tatzo la maadil ni ushoga tu?!! Mbona umeshupalia ushoga ushoga hujaona matatzo mengne aliyokuja nayo mleta mada?!
Mie nimeona kwenye angle ya ushoga, kuhusu hayo mengine nimekuachia wee na wengine mjadili.
Hujambo lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…