Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Jiajirini- kilimo cha mbogamboga, matunda na ufugaji wa kuku kinalipa sana. Muwe wabunifu.
Yeah, nchi imebarikiwa mapori kibao, mvua za uhakika na mito isiyokauka. Sio kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kulalamika tu. Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote.
 
Watumishi wa MUNGU watalipwa na Mungu[emoji3]
 
Watu wanakopa mabilio kila sikuuu miradii hakuna kinachoendeleaa...iliyoanza kazi nayo inakufaaaa...shit hole country.
Mkuu rikiboy,usijizeeshe Kwa mambo madogo. Tuungane tuwahamasishe hata hiyo miradi kama vipi waing'oe wauze skrepa[emoji1787]
 
Watoto wa mawiziri wote walipwe
Wototo wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa walipwe
Watoto wa wakuu wa mikoa walipwe.
Wenza wa wakuu wa wilaya na mikoa walipwe.
Wenza wa wabunge na watoto wao walipwe.
Wenza wa madereva wa viongozi pamoja na watoto wao walipwe.
Wenyeviti wa mitaa vijiji na vitongoji pamoja na mabalozi hawa waendelee kujitolea serikali haina pesa.
 
Yeah, nchi imebarikiwa mapori kibao, mvua za uhakika na mito isiyokauka. Sio kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kulalamika tu. Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote.
Na hayo mapori wakishafyeka kabla hawajalima wamconsult kwanza Tx dullah ili awafanyie Ma-Linear Programming ya kibabe. Famasiala nini[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…