Bilal marehemu nakumbuka ile grocery tulikuwa tunakata pombe kipindi kileUnakumbuka Mtaa wa Wibu? Aunt Bilal alikuwa na pub pale ilikuwa inajaza balaa
Hiphop wanajielewa si unaona mwana hiphop kapewa wizaraWapo kina FID-Q na wengineo baadhi... wanajitambua sana! Hawana huo ujinga ujinga
Tena usijaribu kutongoza dem,ambaye kumbe kuna mtu Ana msaga aise Ana wivuu balaaaMashoga na wasagaji wengi wameoa na kuolewa ,hilo suala la ndoa halina uhusiano na ushoga au usagaji
Kuna siku niko mjini nkasema nipite mitaa ya sinza,kuna mahali kuchekOkay sawa
Naelekea Katumba Mkwajuni uko pande zipi?Bilal marehemu nakumbuka ile grocery tulikuwa tunakata pombe kipindi kile
Bilal kutwa alizungukwa na wasanii madem maarufu...
Na wasanii wanapenda kuwa karibu na mchk maana ya kutafutiwa madanga...
Hawa wasanii si lolote si chochote...
Pesa yako tu unawangoa
Baada ya kile ki grocery mambo ya kichk kutawalaa ilibidi watu wapakimbie....naona sahv pamekufa kabisa
Na sahv kuna mtangazaji mmoja wa radio kafungua pub ufipa Street nasikia ni balaaaa na nusu ni kiwanda cha machk hapo
Acha tu tuendelee kujinywiaa kwa mangi tu
Ova
Na uzi ufungwe tyuuh.Itoshe kusema kuwa hakuna jipya chini ya jua
Huyo mtoto analelewa na baba yakeMatokeo ya malezi ya single parent[emoji848][emoji2827]
Mtoto wa Monalisa si alikuwa anasoma Ukraine Kwa Wataalamu wa usagaji , ushoga na transgender......Hao wacha wawe tu, maana hakuna msanii mwenye fundisho kwa jamii.
Wengi wanaimba ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa hadi machoziii, ila wee mtu khaaaahKama mashoga wa humu tu Jf mmeshindwa kuwakemea kuacha vitendo hivyo zaidi ya kuwakumbatia na kutwa mnaitana binamu vipi hao msiowajua mtaweza kuwashauri kuachana na izo tabia potofu. Acheni unafiki
Ana familia, monalisa alikuwa mke wa piliBado ni single parent labda kama ana familia
Wabongo mbna wanapenda sanaa ushogaa, unafiki unawasumbua tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Means baada ya kujitangaza hivyo kaongeza followers faster
Msiba huu
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Mtoto wa Monalisa si alikuwa anasoma Ukraine Kwa Wataalamu wa usagaji , ushoga na transgender......Hao wacha wawe tu, maana hakuna msanii mwenye fundisho kwa jamii.
Wengi wanaimba ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashoga wazee wa humu ndani, wanapita kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anae wadanganyaa kuwa mwanaume mgumu hawezi kuwa shoga n nan? Mbna mabaunsa wanaliwa vyediii tyuuh??Hahaaa, kimafia kwa kizazi hiki utaonekana u mbaya. Mi Nina kijana wa std vii namkazia kweli kweli yaani namuandaa awe mgumu na mafia na sio lelemama
kaka umeandika kwa hisia sana ni kweli tatizo limekuwa kubwa hivi?Nauli mana mi hapa dar nakuja na kusepa mkoani kwenu kule malezi ya wanetu burudani tunawafundisha elimu.,ujasiriamali na kilimo watu hawajuwi nini maama ya ushoga.Hao wasanii tuliyowaita kioo cha jamii sasa nao wanatuangusha wanaowa kwa kupokezana mke mmoja,aliyewazidi umri uchafu tupu hata sijuwi kwanini?Tutaliepukaje hili dubwana?View attachment 2531950
Hawawezi akati wapingaji wakuu wao ndo wanao wala mashogaaa, ni unafiki na wana jistukiaaa.Nina mawazo tofauti kidogo kuhusu hili suala,tusiangalie mashoga tu tuangalie na mabasha wanaowafira hawa mashoga. Naona kama nguvu kubwa imewekezwa kwa anayefirwa bila kuangalia wanaoendelea kuwaharibu hawa vijana. Tunapokataza na kulaani mashoga tuwalaani na mabasha pia!!