mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Bilal marehemu nakumbuka ile grocery tulikuwa tunakata pombe kipindi kileUnakumbuka Mtaa wa Wibu? Aunt Bilal alikuwa na pub pale ilikuwa inajaza balaa
Bilal kutwa alizungukwa na wasanii madem maarufu...
Na wasanii wanapenda kuwa karibu na mchk maana ya kutafutiwa madanga...
Hawa wasanii si lolote si chochote...
Pesa yako tu unawangoa
Baada ya kile ki grocery mambo ya kichk kutawalaa ilibidi watu wapakimbie....naona sahv pamekufa kabisa
Na sahv kuna mtangazaji mmoja wa radio kafungua pub ufipa Street nasikia ni balaaaa na nusu ni kiwanda cha machk hapo
Acha tu tuendelee kujinywiaa kwa mangi tu
Ova