Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Unakumbuka Mtaa wa Wibu? Aunt Bilal alikuwa na pub pale ilikuwa inajaza balaa
Bilal marehemu nakumbuka ile grocery tulikuwa tunakata pombe kipindi kile
Bilal kutwa alizungukwa na wasanii madem maarufu...
Na wasanii wanapenda kuwa karibu na mchk maana ya kutafutiwa madanga...
Hawa wasanii si lolote si chochote...
Pesa yako tu unawangoa
Baada ya kile ki grocery mambo ya kichk kutawalaa ilibidi watu wapakimbie....naona sahv pamekufa kabisa
Na sahv kuna mtangazaji mmoja wa radio kafungua pub ufipa Street nasikia ni balaaaa na nusu ni kiwanda cha machk hapo
Acha tu tuendelee kujinywiaa kwa mangi tu

Ova
 
Naelekea Katumba Mkwajuni uko pande zipi?
 
Kama mashoga wa humu tu Jf mmeshindwa kuwakemea kuacha vitendo hivyo zaidi ya kuwakumbatia na kutwa mnaitana binamu vipi hao msiowajua mtaweza kuwashauri kuachana na izo tabia potofu. Acheni unafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa hadi machoziii, ila wee mtu khaaaah
 
Hahaaa, kimafia kwa kizazi hiki utaonekana u mbaya. Mi Nina kijana wa std vii namkazia kweli kweli yaani namuandaa awe mgumu na mafia na sio lelemama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anae wadanganyaa kuwa mwanaume mgumu hawezi kuwa shoga n nan? Mbna mabaunsa wanaliwa vyediii tyuuh??

Muwe mnatumia logic ktk mambo yenu. Woiiiiiih
 
Tutaliepukaje hili dubwana?View attachment 2531950
kaka umeandika kwa hisia sana ni kweli tatizo limekuwa kubwa hivi?Nauli mana mi hapa dar nakuja na kusepa mkoani kwenu kule malezi ya wanetu burudani tunawafundisha elimu.,ujasiriamali na kilimo watu hawajuwi nini maama ya ushoga.Hao wasanii tuliyowaita kioo cha jamii sasa nao wanatuangusha wanaowa kwa kupokezana mke mmoja,aliyewazidi umri uchafu tupu hata sijuwi kwanini?
 
Nina mawazo tofauti kidogo kuhusu hili suala,tusiangalie mashoga tu tuangalie na mabasha wanaowafira hawa mashoga. Naona kama nguvu kubwa imewekezwa kwa anayefirwa bila kuangalia wanaoendelea kuwaharibu hawa vijana. Tunapokataza na kulaani mashoga tuwalaani na mabasha pia!!
Hawawezi akati wapingaji wakuu wao ndo wanao wala mashogaaa, ni unafiki na wana jistukiaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watafutwee mabashaa mbna watu watatafuta pa kukimbilia, uwiiiiiih
 
Back
Top Bottom