Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nisipo gombanaaaa, hapanaaa sijisikii poaa babuuu. Nichachuane kidogo ndo nakuwa sawaa.
Mmmh[emoji2827][emoji2827]
 
Haitajwi kila mara ila hitler akiwamaliza wayahudi vita vya pili kama watu wasiyofaa na wengine aliyowaangamiza ni mashoga. Tusiache ifike mahali kumaliza ushoga iwe jawabu ni kuwaua. Ni jawabu baya sana ila ikibidi kuokoa uwepo wa familia sijui itabidi kufanya nini.
 
Nadhani kuna ukweli hapa
 
Huyu shoga kila post yupo anacomment. Hajapata wa kumchana humu?
 
Serikali inalilea sana hili jambo, huenda inaridhia matakwa ya wamagharibi ili ipate misaada na mikopo. Wangekuwa serious wakaanza kuyafunga haya mashetani tusingefika huku.
 
Aorodheshe hao «wasanii» na «watoto» wao anaodai ni mashoga. Anazusha, generalize na ku sensationalize jambo na kulikuza kutokana na kijana mmoja tu mdogo ambaye anaweza kuwa mwanaye.

Hafikirii namna gani amemuharibia huyo bwamdogo maisha yake kwa kuanzisha uzi huu wa kumtuhumu na kumuabisha milele mbele ya jamii.
 
Hadi watu wanaomba connections, kweli kazi tunayo...
 
MKUU KULIEPUKA NI SIMPLE TUU
1. WATOTO WETU TUWALEE WENYEWE USIRUHUSU MTU AKULELE MTOTO WAKO UWEZI JUA ATAMFANYIA NNI KIPINDI ANAMLEA UWENDA NDO MWANZO WAKUMFUNDISHA UTOMVU WA MAADILI NA KULAWITI
2. ATAKAE GUNDULIKA NI SHOGA AHUKUMIWE KWA KWENDA KINYUME NA MAADILI YA NCHI YETU NA JAMII KIUJUMLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…