Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Wamama wanachangia sana watoto wa kiume kuwa mashoga ,just imagine zari anafurahia kabisa wanae wa kiume kuvaa hereni zake.

Mtoto wa kiume inatakiwa alelewe kimafia ,ukimlea kimayai mayai ni majanga sana.
Hahaaa, kimafia kwa kizazi hiki utaonekana u mbaya. Mi Nina kijana wa std vii namkazia kweli kweli yaani namuandaa awe mgumu na mafia na sio lelemama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…