To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nilishatoa uzazi mkuuNjoo tuzae ata watoto wawili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishatoa uzazi mkuuNjoo tuzae ata watoto wawili tu
Kama sio sura hata tabiaKwa namna yeyote Ile "lazima" mtoto awe na ufanano wowote ule na baba yake.
Tutafanyia maombezi kirudiNilishatoa uzazi mkuu
Ukikiondoa hakirudi mkuuTutafanyia maombezi kirudi
Mama mmoja aliniambia hvi; mwanamke akiwa mjamzito akatumia muda mwingi (kipnd cha ujauzito) kumfikiria mtu flani, basi kuna uwezekano mkubwa mtoto kufanana na mtu huyo (elimu ya mtaani[emoji3])..
Na Iko hivyo ukiona unaanza kuambia habari za kufanana sijui na uncle yake juwa umepigwa, Yani mpeane utamu nyie wenyewe harafu mtoto afanani na mtu mwingine, Mannnninaa kabisaa😅🤣 Mimi huwa nasema hili... Hata dunia igeuke juu chini, Mtoto yeyote wa kike au kiume lazima afanane na Baba... Ikiwa tofaut jibu ni jepesi umeibiwa...
Inakuwaje afanane na mama yake na si wewe?Tulieni dawa iwaingie.
N.b kwenye Ndoa zenu kuna mitoto yetu
Kinachosababisha afanane na mama tu ni nini?Poleni
Je, hii ni sababu ya kitaalamu na imethibitishwa?Ukiona mtoto hafanani na wewe jua kuwa ulipokutanana na huyo mwanamke ulichelewa kumwaga kabla yake. Anayewahi kumwaga (kufika mshindo) pindi mume na mke wanapokutana ndio hupelekea mtoto kufanana nae.
Hayo ni maneno ya Mtume Muhammad (pbuh) aliulizwa swali hilo na mwanazuoni wa kiyahudi ambaye alimwendea ili kuthibitisha utume wake.Je, hii ni sababu ya kitaalamu na imethibitishwa?
Chapter: The creation of Adam and his offspring
(1)
بَابُ خَلْقِ آدَمَ صَلَوَاتُ اللَّهِ عَلَيْهِ وَذُرِّيَّتِهِ
Sahih al-Bukhari 3329
Narrated Anas:
When `Abdullah bin Salam heard the arrival of the Prophet (ﷺ) at Medina, he came to him and said, "I am going to ask you about three things which nobody knows except a prophet: What is the first portent of the Hour? What will be the first meal taken by the people of Paradise? Why does a child resemble its father, and why does it resemble its maternal uncle" Allah's Messenger (ﷺ) said, "Gabriel has just now told me of their answers." `Abdullah said, "He (i.e. Gabriel), from amongst all the angels, is the enemy of the Jews." Allah's Messenger (ﷺ) said, "The first portent of the Hour will be a fire that will bring together the people from the east to the west; the first meal of the people of Paradise will be Extra-lobe (caudate lobe) of fish-liver. As for the resemblance of the child to its parents: If a man has sexual intercourse with his wife and gets discharge first, the child will resemble the father, and if the woman gets discharge first, the child will resemble her." On that `Abdullah bin Salam said, "I testify that you are the Messenger of Allah." `Abdullah bin Salam further said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! The Jews are liars, and if they should come to know about my conversion to Islam before you ask them (about me), they would tell a lie about me." The Jews came to Allah's Messenger (ﷺ) and `Abdullah went inside the house. Allah's Apostle asked (the Jews), "What kind of man is `Abdullah bin Salam amongst you?" They replied, "He is the most learned person amongst us, and the best amongst us, and the son of the best amongst us." Allah's Messenger (ﷺ) said, "What do you think if he embraces Islam (will you do as he does)?" The Jews said, "May Allah save him from it." Then `Abdullah bin Salam came out in front of them saying, "I testify that None has the right to be worshipped but Allah and that Muhammad is the Apostle of Allah." Thereupon they said, "He is the evilest among us, and the son of the evilest amongst us," and continued talking badly of him.
Wataalam watakujibuKinachosababisha afanane na mama tu ni nini?