Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

Mungu awatetee!
 
Sio kila mtu anapaswa kuwa na watoto na kuwa mzazi, sema ndio hivyo tu raia wabishi wanalazimisha
Kweli sio kila mtu anafaa kuwa mzazi wengine wanalazimisha
 
Jana kwenye malumbano ya hoja kamanda mlilo alisema kuwa,Jeshi la polisi la Tanzania linaintelijensia yenye uweledi kuliko jeshi lolote duniani na limekusanya taarifa za kiintelijensia na kuthibitisha kuwa hizi taarifa za utekaji ni uongo
 
Kama kweli huyo kamanda alitoa kauli hiyo, basi kichwani amejaa kamasi sio akili.
 
Kwa kauli hizi za watawala, nchi hii itaendelea kuchezewa hadi Yesu atakaporudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…