Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.

Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.

Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
Poleni Sana morogoro
 
Hii ni maalum kwa kujaza bwawa.
 
Kuna ndugu yangu anaishi ughaibuni akinisalimu huwa ananiambia mnaendeleaje hapo kijiji cha Dar. Hataki kusikia panaitwa jiji ananitukana matusi makali nikisema jiji la Dar. Sasa nashangaa mtu anasema jiji la Moro, kweli?
 
Mvua imenyeesha ya kutosha na kuleta mafuriko Kihonda na hii inachangiwa na ujenzi holela wa reli ya mwendokasi
IMG-20230113-WA0007.jpg
IMG-20230113-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom