Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Kuna ndugu yangu anaishi ughaibuni akinisalimu huwa ananiambia mnaendeleaje hapo kijiji cha Dar. Hataki kusikia panaitwa jiji ananitukana matusi makali nikisema jiji la Dar. Sasa nashangaa mtu anasema jiji la Moro, kweli?
Katika miji ambayo haiendelei ni Morogoro, yaani pale mjini ni sawa na mtu aliyeko bush....
 
Mwendokasi mara imekuwa ujenzi holela??! Au ni sisi wenyewe kutokana na kipato tunaishia kununua maeneo ambayo hayajapimwa rasmi na hatujiridhishi kama ni maeneo ambayo maji hupita ? Yawezekana kweli ujenzi wa SGR lile tuta kubwa kuelekeza maji kwingine ila sisi wenyewe tunachukia tahadhari gani au tunasubiri kuiomba serikali itusaidie janga linapotokea ... Mimi binafsi naamini usemi wa "Wacha inyeeshe ..tuone panapovuja" poleeni kwa wahanga (wenzangu) wote, yametufika ingawa kwa viwango tofauti.
 
Hamna mafuriko hapo. Miundombinu mibovu tu
Mitaro kwenye maeneo km hayo inabidi iende futi 10 kwenda chini mpaka 12 na upana mita 30 mpaka 50, sasa unachimba mtaro futi 2 mita 10 unategemea nini? Maji lazima yajae miundominu mibovu
 
Mara nyingi mto msimbazi hujazwa na maji toka mvua za morogoro, hivyo, daresalamu inaweza isinyeshe mvua kubwa lakini mto ukajaa, tena kwa bahati mbaya haya hutokea usiku wakati watu wamelala, tuwe makini sana sisi wakongwe wa jiji tunafahamu hili sana.

==== ====

Mvua kubwa iliyonyesha usiku kuanzia majira ya saa nane hadi alfajiri, imesababisha mafuriko na kuleta hofu kwa madereva kuendesha magari katika maji hayo yanayokatisha juu ya barabara ya Morogoro - Dodoma.

Chanzo: ITV
 

Attachments

  • IMG-20230113-WA0047.jpg
    IMG-20230113-WA0047.jpg
    31.7 KB · Views: 2
Mjomba unataka niingie kwenye mafuriko niondoke kisa kupiga picha[emoji3][emoji3]subiri taarifa za habari utaona
Pole sana mkuu.

Jamaa sijui anataka picha gani wakati anakuona hapo na rain boot.
 
Back
Top Bottom