Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

Kwani hao jamaa hawamiliki silaha zingine mafichoni kisha wakaenda kuwaonesha polisi halafu wakachoropoka kutaka kutoroka ili risasi zitakazopigwa hewabi ziwapate kwa minajili ya kesi kuwa closed?

Polisi wanaijua sana hii tuition lakini kama wamejisahau vile
 
Halafu hadi leo watekaji wa Roma, Mo Dewji , Aliyemtishia Nape bastola,na waliopiga risasi Tundu Lissu wapo mtaani wanatesa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili jeshi hili
 
Utekaji wowote haukosi sababu ???

Inawezekana kuna fedha baba wa mtoto huyo alikuwa anadaiwa
Kuna uwezekano ikawa mambo ya biashara pia

Ova
 
Eti wameandika barua kwa DPP kukiri kosa kwa nia ya plea bargain, watekaji wenyewe inaonekana ni wakishua, ngoja nione serikali chini ya DPP itaamua nini
 
Utasikia bado tunaendelea na uchunguzi zaidi... Mara paap wameachiwa huru ati ushahidi hauna nguvu ya kuwatia hatiani
Uchunguzi umekamilika na watuhumiwa wamekiri kosa na kuomba plea bargain
 
Inaonekana watekaji ni wakishua pia, washaomba plea bargain soon utawaona wapo mtaani
 
Inaonekana watekaji ni wakishua pia, washaomba plea bargain soon utawaona wapo mtaani
Hii imekaaje kwamb watapigwa faini au, ila walikuwa wazembe wamekamatwa ka kuku labda gari ina gps au mawasiliano yao na walitaka kutumiwaje
 
Polisi wamekosea sana!
.
Hao ilitakiwa wawahoji huko huko chimbo walikokutwa, baada ya mahojiano wanamchukua, bint wale jamaa wanakula vyuma vya kichwa kila mmoja kisha wanakuja mbele ya kamera wanasema tumeua majambazi yaliyomteka binti maana yalianza kuturushia risasi basi.

Habari ya upelelezi na mavi mengine yanayofanana na hayo ni kupoteza rasimali za taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…