Watu wamesikiliza motivesheni spika,kupata traffic endelevu sio suala dogo!Kuwa mwanamitandao ni 99% bahati 1% juhudi, amini kwamba
Ni kazi ngumu sana
Na ile hutakiwi uichukulie kama kazi, ile ni sanaa unatakiwa uipende
Kupata format ya content itakayoingiza views ni ngumu mno
Kwahiyo ni ngumu sana
Ukishakuwa kama mwijaku inatosha kabisa
Wanaweza wasifurahie lakini yeye maisha yanamnyookea anaishi anavyotaka yeye.We unafikiri Mama yake Mwijaku Baba, Mke, na watoto wake wanafurahia kazi yake anao fanya, kweli ni majinga tu wa umasikini.
Hatari sanaMwijaku anakunja zaidi ya milioni 10 kwa mwezi
Wanaweza wasifurahie lakini yeye maisha yanamnyookea anaishi anavyotaka yeye.
Simpendi huyu jamaa lkn ndo hivyo naona akifanikiwa kwa upuuzi wake
Wanaweza wasifurahie lakini yeye maisha yanamnyookea anaishi anavyotaka yeye.
Simpendi huyu jamaa lkn ndo hivyo naona akifanikiwa kwa upuuzi wake
Ni kweli lakini dah...mtindo wa mwijaku unakera sana 😅Mwijaku sio mpuuzi. Bali Mwijaku amechagua niche ya upuuzi ili kutengeneza content zake. Kuna kitu kinaitwa Niche kwenye content creations.
Lazima ujue unapita njia gani. Ndio maana kuna foodlover yeye amechagua niche ya mapishi
Kuna kina Steve mweusi yeye amechagua niche ya comedy
Kuna kina Lilian yeye amechagua niche ya ukungwi. Kufundisha mapenzi
Ukiacha field za kisayansi kama udaktari, field nyingine zote zinahitaji uwe na uwezo wa kuvutia wateja.Kwahiyo kila mtu akiwa mchekashaji nani atakae chekeshwa?..........Elimu yetu haisaidii kutupa vijana ambao ni "critical thinkers" wengi copy and paste no creativity mchawi wa ajira hapa ni mfumo mbovu wa elimu
Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...Muda huu Mwijaku yuko Brantyre Malawi. Ameenda kufanya tangazo kapelekwa na ubalozi wa malawi
Akina Amber ama sioHaya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.
Kwanza kabisa sisi kama WaTanzania Mungu halitunyima customer care. Hatujui kupokea kuongea kulinda mteja, lugha zetu ni chafu and careless.......unaenda mapokezi ila huyu bint iko bzy ana chart na simu wala hawaangalii kabisa,....ndo maana Hotel kubwa Tz zinapendelea kuajiri wa Kenya au wa Hindi kuliko wa Tanzania.Ukiacha field za kisayansi kama udaktari, field nyingine zote zinahitaji uwe na uwezo wa kuvutia wateja. Yaani wewe ni mhasibu ila uwepo wako kwenye hiyo ofisi ni marketing. Wewe ni procure ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing. Wewe ni lawyer ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing Ndo maana mnashauriwa muwe na page za social media zenye nguvu ya marketing. Watu wanaokufatilia wakiwa wengi utaona namna ofisi zitakavyokushawishi kukuajiri.
Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.
Mwambie nipo hapa Kyabakari nakunuwa Gongo na Kichuri. Aje anichekeshe huyo mchekeshaji nimlipe.Uzi tayari, kwahiyo unataka kila graduate awe mchekeshaji siyo!
Unaenda sehemu lidada linakupokea kama unataka kulitongoza, maringo maringo mara limeshika iphone na ukilitongoza kweli halikatai.Kwanza kabisa sisi kama WaTanzania Mungu halitunyima customer care. Hatujui kupokea kuongea kulinda mtaja, lugha zetu ni chafu and careless.......unaenda mapokezi ila huyu bint iko bzy ana chart na simu wala hawaangalii kabisa,....ndo maana Hotel kubwa Tz zinapendelea kuajiri wa Kenya au wa Hindi kuliko wa Tanzania.
Si lazima liwe la kipuuzi. Si lazima utrend ila unaweza kuwa una ushawishi. Mfano kuna page ya mwanasheria wala hatrend ila ukiingia unakutana na mambo ambayo yanavutia umfollow. Sasa ukiwa mtu wa aina hii na ukawa na wafuasi wa kutosha ujue value yako kwenye ulimwengu wa ajira katika makampuni makubwa inapanda.Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.
Elezea content zake vizuri, kama sio kwamba wenye biashara ndo wanawekaza kwake ili aendelee ku-promote biashara zao, huyu haiko independent anamilikiwa na kampuni fulani ku promote brand yao.Huyu binti content zake za ukonda wa bus Tilisho zimempa dili nyingi za ubalozi na matangazo. Na instagram ana followers milioni
Hapo tu ana miaka 24 ameshanunua gari yake. Na hata chuo kikuu hajafika
View attachment 2950665
Ndo shida kubwa ya dada zetu watanzania ukifika kwake anakua obsessed na kutongozwa kwanza, anijahidi asiwe cheap kwako, wskati wewe ni mteja unahitaji huduma tu.Unaenda sehemu lidada linakupokea kama unataka kulitongoza, maringo maringo mara limeshika iphone na ukilitongoza kweli halikatai.
Charlie Chaplin anakuchesha huwa anaongea lugha Gani? Au Mr bean. Kusoma sio kigezo kigezo ni ununifu wa kukufanya uvuke boda.Hapo sasa kwenye maudhui ndipo elimu inapokuja kutuangusha content nyingi ni local zinashindwa kuvuka mipaka hasa kutokana na lugha
Joti angekuwa na elimu hasa ya lugha na sanaa angeiteka afrika kama comedian wa Nigeria
Elimu Elimu Elimu ni muhimu sna
Dah hapa pagumu kuelewesha ila Ile ni lugha na inasomewa vizuri tena ni ngumu sana Bora hata ya kuongeaCharlie Chaplin anakuchesha huwa anaongea lugha Gani? Au Mr bean. Kusoma sio kigezo kigezo ni ununifu wa kukufanya uvuke boda.