Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

Wanaweza wasifurahie lakini yeye maisha yanamnyookea anaishi anavyotaka yeye.

Simpendi huyu jamaa lkn ndo hivyo naona akifanikiwa kwa upuuzi wake

Mwijaku sio mpuuzi. Bali Mwijaku amechagua niche ya upuuzi uchawa ili awe unique kwenye kutengeneza content zake. Kuna kitu kinaitwa Niche kwenye content creations.

Mwijaku ana degree ya maigizo kutoka creative arts udsm

Kabla hujaanza kutengeneza content zako kwanza Lazima ujue unapita njia gani ili upenye sokoni ukubalike.

Ndio maana kuna foodlover yeye amechagua niche ya mapishi. Yeye anapiga hela za matangazo ya wauza vyombo tu na spices

Kuna kina Steve mweusi yeye amechagua niche ya comedy

Kuna kina Lilian yeye amechagua niche ya ukungwi. Kufundisha mapenzi.

Lazima uwe na niche
 
Mwijaku sio mpuuzi. Bali Mwijaku amechagua niche ya upuuzi ili kutengeneza content zake. Kuna kitu kinaitwa Niche kwenye content creations.

Lazima ujue unapita njia gani. Ndio maana kuna foodlover yeye amechagua niche ya mapishi

Kuna kina Steve mweusi yeye amechagua niche ya comedy

Kuna kina Lilian yeye amechagua niche ya ukungwi. Kufundisha mapenzi
Ni kweli lakini dah...mtindo wa mwijaku unakera sana 😅
 
Kwahiyo kila mtu akiwa mchekashaji nani atakae chekeshwa?..........Elimu yetu haisaidii kutupa vijana ambao ni "critical thinkers" wengi copy and paste no creativity mchawi wa ajira hapa ni mfumo mbovu wa elimu
Ukiacha field za kisayansi kama udaktari, field nyingine zote zinahitaji uwe na uwezo wa kuvutia wateja.

Yaani wewe ni mhasibu ila uwepo wako kwenye hiyo ofisi ni marketing. Wewe ni procure ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing. Wewe ni lawyer ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing.

Tunashauriwa tuwe na page za social media zenye nguvu ya marketing. Watu wanaokufatilia wakiwa wengi utaona namna ofisi zitakavyokushawishi kukuajiri.

Ile tu huko Fb, Linkedin, Insta yako kuwa na title Covax works as cashier at Tsh company ltd ni marketing. Sasa kama una content zinazopendwa ujue utatakwa na ofisi nyingi.
 
Muda huu Mwijaku yuko Brantyre Malawi. Ameenda kufanya tangazo kapelekwa na ubalozi wa malawi
Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.
 
Ukiacha field za kisayansi kama udaktari, field nyingine zote zinahitaji uwe na uwezo wa kuvutia wateja. Yaani wewe ni mhasibu ila uwepo wako kwenye hiyo ofisi ni marketing. Wewe ni procure ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing. Wewe ni lawyer ila uwepo wako kwenye ofisi ni marketing Ndo maana mnashauriwa muwe na page za social media zenye nguvu ya marketing. Watu wanaokufatilia wakiwa wengi utaona namna ofisi zitakavyokushawishi kukuajiri.
Kwanza kabisa sisi kama WaTanzania Mungu halitunyima customer care. Hatujui kupokea kuongea kulinda mteja, lugha zetu ni chafu and careless.......unaenda mapokezi ila huyu bint iko bzy ana chart na simu wala hawaangalii kabisa,....ndo maana Hotel kubwa Tz zinapendelea kuajiri wa Kenya au wa Hindi kuliko wa Tanzania.
 
Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.

Huyu binti content zake za ukonda wa bus Tilisho zimempa dili nyingi za ubalozi na matangazo. Na instagram ana followers milioni

Hapo tu ana miaka 24 ameshanunua gari yake. Na hata chuo kikuu hajafika

Kuna watu kibao wanafanya kazi miaka kibao serikalini na private sector ila hawawezi kununua hata IST. Maana wanategemea source moja tu ya income

naycemoshi_1710928671200(1).jpeg
 
Kwanza kabisa sisi kama WaTanzania Mungu halitunyima customer care. Hatujui kupokea kuongea kulinda mtaja, lugha zetu ni chafu and careless.......unaenda mapokezi ila huyu bint iko bzy ana chart na simu wala hawaangalii kabisa,....ndo maana Hotel kubwa Tz zinapendelea kuajiri wa Kenya au wa Hindi kuliko wa Tanzania.
Unaenda sehemu lidada linakupokea kama unataka kulitongoza, maringo maringo mara limeshika iphone na ukilitongoza kweli halikatai.
 
Haya mambo ambayo tunayaona kwenye mtandao kama upuuzi ndo yanayowapa watu pesa za maana...
Yaani ukitaka kutrend upate mafanikio wewe trend kwanza kwa jambo lolote la kipuuzi...baada ya hapo unaanza kupata deals za maana.
Si lazima liwe la kipuuzi. Si lazima utrend ila unaweza kuwa una ushawishi. Mfano kuna page ya mwanasheria wala hatrend ila ukiingia unakutana na mambo ambayo yanavutia umfollow. Sasa ukiwa mtu wa aina hii na ukawa na wafuasi wa kutosha ujue value yako kwenye ulimwengu wa ajira katika makampuni makubwa inapanda.
 
Huyu binti content zake za ukonda wa bus Tilisho zimempa dili nyingi za ubalozi na matangazo. Na instagram ana followers milioni

Hapo tu ana miaka 24 ameshanunua gari yake. Na hata chuo kikuu hajafika

View attachment 2950665
Elezea content zake vizuri, kama sio kwamba wenye biashara ndo wanawekaza kwake ili aendelee ku-promote biashara zao, huyu haiko independent anamilikiwa na kampuni fulani ku promote brand yao.
 
Unaenda sehemu lidada linakupokea kama unataka kulitongoza, maringo maringo mara limeshika iphone na ukilitongoza kweli halikatai.
Ndo shida kubwa ya dada zetu watanzania ukifika kwake anakua obsessed na kutongozwa kwanza, anijahidi asiwe cheap kwako, wskati wewe ni mteja unahitaji huduma tu.
 
Hapo sasa kwenye maudhui ndipo elimu inapokuja kutuangusha content nyingi ni local zinashindwa kuvuka mipaka hasa kutokana na lugha
Joti angekuwa na elimu hasa ya lugha na sanaa angeiteka afrika kama comedian wa Nigeria
Elimu Elimu Elimu ni muhimu sna
Charlie Chaplin anakuchesha huwa anaongea lugha Gani? Au Mr bean. Kusoma sio kigezo kigezo ni ununifu wa kukufanya uvuke boda.
 
Charlie Chaplin anakuchesha huwa anaongea lugha Gani? Au Mr bean. Kusoma sio kigezo kigezo ni ununifu wa kukufanya uvuke boda.
Dah hapa pagumu kuelewesha ila Ile ni lugha na inasomewa vizuri tena ni ngumu sana Bora hata ya kuongea
 
Back
Top Bottom