Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

1. Mwl Nyerere
2. John P Magufuli
3. Muammar Gaddafi

Sub
1. Putin
2. Kim Jong Un - North Korea
3. Fidel Castro

Nyerere amemuacha miles nyingi sana Mandela, ni vile tu Mandela amekuwa overrated na mabwenyenye wa duniani kwakuwa alikubali kula nao cake ya nchi baada ya kutoka jela.
 
1.DINO GAUCHO 2.AGREY MWANRI hii ntaiweka maliwatoni room cause huko ndo nakosukumiaga mavituzi ndani 3.KAPICHA KA MAMA SA100 nakaweka kule nakolala kabsa maana kwa tule tumacho twake ntakua nalala vzur
 
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681
Baba, mama, mimi na mke wangu.
 
Ok.
1.mwl. Nyerere
2.Gaddaf
3.magufuli
4.kikwete


1.bob Marley
2.joseph hill (culture)
3.luck dube
3. Mbowe

1.pro jay
2.sugu
3.2pac A Shakur
4.koffi Olomide

1.baba yangu & his wife
2. Mke wangu
3.watoto wangu
4.MIMI
Oyaa man watu muhimu ni wengi mpaka roho inauma man
Kikwete kabisa?
 
JPM
inanifanya nicheke na kuzidi kumwamin MUNGU wa mbinguni kuwa hashindwi, kama kaniondolea chuma atashindwa nin? Hiki chuma nilichokuwa nakitetemekea
 
1.Mzee wangu
2.Mimi mwenyewe

Nataka niongeze hizi
3.Nikiwa na ndugu zangu wawili
4.Tinga tinga/ Asili ya Africa/ wamasai/ flower/ Motivational quote/
5.Denzel Washington (Actor)

Napenda sana picha kwa ukuta.

Cc: Karucee
 
Kulia anakaa Gal Gadot, kati nakaa mwenyewe kushoto Emilia Clarke.
🤣🤣 Nawakubali sana japo siwezi weka picha zao ila nawakubali mno.
Daenerys Targaryen, "We obviously didn't communicate clearly. We're here to discuss your surrender, not mine."
 
1) Sheikh Usammah bin Muhammad bin Awadh bin Laden

2) John Joseph Pombe Magufuli

3) Laurent Desire Kabila
 
1. Jua linalochomoza juu ya kilele cha mlima, kukiwa na mawingu Mepesi mepesi na Kwa mbali upinde wa mvua, pakiwa na maporomoko ya maji, chini pakiwa na tambarare la kijani, Angani akiwepo Tai mkubwa aliyetanua mbawa zake.

2. Nyota ya Tibeli yenye Mbawa mbili.

3. Taikon wa Fasihi akiwa na Mke wake ambaye anaujauzito wa miezi isiyopungua Saba. Kukiwa na NG'OMBE na Ndama anayenyonya, Kuku aanaye atamia mayai, Picha iwe kiutamaduni zaidi.
 
Kwame Nkurumah
Ahmed Sekou Toure
Julius Nyerere
Nelson Mandela.
AFRICAN SOCIAL ORIENTED LEADERS.
 
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681
Ila mandela ali surrender akaiacha SA kwa makaburu hadi leo wazawa wana fursa finyu kuliko makaburu. Miji yote mikubwa na prime areas wanaishi makaburu na mwafrika hatakiwi kukatiza. Kuna beaches mtu mweusi haendi.
 
Back
Top Bottom