Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Mwisho wa hayo maisha ya namna hiyo ni lini?Unawatembelea mda gani? Natika home saa 11 alfajiri, narudi saa 3 usiku, watoto na mke wamelala.
Weekend:
- Gari service
- Shopping.
- Ibada.
- Kukaa na watoto.
- Kukaa uchi na shemeji yako...
Nitembelee ndugu saaa ngapi?