Hii imesababishwa na nini?watu wanakutafuta ili wapate chochote kutoka kwako.
Na kwanini mambo yamekuwa mengiTatizo mambo ni mengi sana na muda ni mchache.
Kwa hiyo si bora turudi kwenye ile mifumo ya ufugaji na ukulima, kuliko kuishi kwenye hii mifumo ya kusaka hela na kwenda kununua bidhaa sokoni, inayopelekea kubadili mfumo wetu wamaisha ya asili?Ratiba tu zimebadilika,hizi sio enzi za kutoka shamba saa7 mchana na kurudi kukaa kivulini kuvuta kiko, mtu utamkuta nyumbani saa ngapi? Ni kawaida tu hata wewe kuna muda huwezi onana na mtu
Wkendi hii nitafanya hivyoWe mara ya mwisho kumtembelea mshikaji wako nilikuwa lini?
Ni kweli, na jirani ndio ndugu yako wakaribu.Familia zikipata/zikipewa umuhimu katika ngazi ya chini mambo yatakaa sawa,Kwa kuanza na majirani zako ndugu jamaa na marafiki,maana huwezi kuenda Kwa watu walioko mbali kuwatembelea wakati jirani zako umewasahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je na wao huwa wanafanya hivyo?Binafsi jamaa zangu wakinicheki kua wapo mji nilipo hua navunja ratiba zangu na kuwapa muda wangu
Hii inaweza kuwa sababu, ingawa naona muda mwingi wanakuwa wako bize, walioajiriwa sio jumatatu wala jumamosi, wako bize tu.Mjini labda sababu ya foleni pia
Sasa utoke mbagala hadi tegeta kwa foleni hizi , mikoani si sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine.Hii inaweza kuwa sababu, ingawa naona muda mwingi wanakuwa wako bize, walioajiriwa sio jumatatu wala jumamosi, wako bize tu.
Ukiwa na raha yaan pesa mjini utatembelewa hadi uchoke mwenyewMambo ni mengi ndiyo,lakini tutembeleane,watu hawawatembelei hadi wagonjwa mahospitalini,wafungwa magereza I,jamani tuwe tunatembeleana.Hii inawapa mawazo sana ndugu na jamaa wagonjwa, au walioko gerezani kwa makosa pengine ya kusingiziwa.
Malezi ya kiimani katika familia zetu,na kufuata Mila na desturi zetu nadhani Kwa mtazami wangu ndo suluhisho,Na hili ndilo tatizo kubwa; Unafikiri ni nini kifanyike ili ile hali ya watu kuishi kiutu na kutembeleana iweze kurudi?
Hua wanajifanya wamebanwa kama hiyo sinario uliyoelezea, ila hilo ni tatizo lao hua nachukulia poa tu maisha yanaendeleaJe na wao huwa wanafanya hivyo?
Mambo ni mengi ndiyo,lakini tutembeleane,watu hawawatembelei hadi wagonjwa mahospitalini,wafungwa magereza I,jamani tuwe tunatembeleana.Hii inawapa mawazo sana ndugu na jamaa wagonjwa, au walioko gerezani kwa makosa pengine ya kusingiziwa.
Mara ya mwisho kumtembelea jirani yako ilikuwa lini.Sasa utoke mbagala hadi tegeta kwa foleni hizi , mikoani si sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine.
Foleni ula sana mda kwa watu wa dar
Mfano toka tegeta hadi mbagala au buza anaetoka Mwanza Dar kwa ndege anawahi fika
Utajua hayo matembezi ni feki, ya kuigiza kwa sababu una kitu; leo huna kitu wote wanakimbiaUkiwa na raha yaan pesa mjini utatembelewa hadi uchoke mwenyew
Ndo maisha yalivyo siku hizi hasa mijiniUtajua hayo matembezi ni feki, ya kuigiza kwa sababu una kitu; leo huna kitu wote wanakimbia
Yamekuwa mengi kutokana na hali halisi ya maisha, sasa hivi ni kukutana kwenye mambo muhimu tu.Na kwanini mambo yamekuwa mengi